Baba enzi zake alikuwa na mikwara

HIVI HUYO ASKARI JUU YA GARI NI WA RWANDA? KWANINI ALIDHARAU JESHI LETU JWTZ NA KWENDA KUWAKODISHA HAWA MPAKA HATA KULINDA TANZANITE YETU MERERANI? ALILIPA KIASI GANI KWA KAGAME?
 
HIVI HUYO ASKARI JUU YA GARI NI WA RWANDA? KWANINI ALIDHARAU JESHI LETU JWTZ NA KWENDA KUWAKODISHA HAWA MPAKA HATA KULINDA TANZANITE YETU MERERANI? ALILIPA KIASI GANI KWA KAGAME?
Acha kuandika story za vijiweni hapa sio fesibuku, bladfakeni
 
Wapo wanaovaa uniform na wapo wasiovaa uniform (ambao ni wengi) hivyo wanaovaa uniform wana sare zao tofauti na majeshi mengine

Hao wenye uniform kama huyo kwenye gari la Rais ndio hao walioonekana wakilinda kule MERERANI; kwa maana hiyo TISS ndio waliokwenda kulinda kule kenye TANZANITE mines!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…