Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Hapa alikuwa Mbeya, kuna jamaa kapanda juu ya gari kuhakikisha baba yuko salama! Baba tumemiss sana hizi swaga, wengine wakisema hao jamaa zetu ni wakutoka kwa jirani yako Tolu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa anajiona kama Secret Service kwenye convoy ya TrumpBongo kwa kuiga tu. Huyo jamaa usikute hata akuelekezwa kupanda juu ya gari aliamua mwenyewe tu kutafuta sifa za kijinga mbele ya mademu walikuwa kwenye umati.
Iga ufe!
Una uhakika?
WEWE!Ni nani aliokwambia huyo jamaa ni JWTZ?
Toka lini PSU wakawa na uniform yao tofauti? Kwanza TISS hawana uniform! Hebu elezea zaidi chief!Unakwama mwamba, hao ni PSU kutoka TISS
Kwani nani alikuita hapa? Katafute maembe mabichi utafunemnaweza kutupumzisha kidogo, sasahivi tupo na samia, kazi iendelee.
Acha kuandika story za vijiweni hapa sio fesibuku, bladfakeniHIVI HUYO ASKARI JUU YA GARI NI WA RWANDA? KWANINI ALIDHARAU JESHI LETU JWTZ NA KWENDA KUWAKODISHA HAWA MPAKA HATA KULINDA TANZANITE YETU MERERANI? ALILIPA KIASI GANI KWA KAGAME?
Akwende zake huko!!!!Hapa alikuwa Mbeya, kuna jamaa kapanda juu ya gari kuhakikisha baba yuko salama! Baba tumemiss sana hizi swaga, wengine wakisema hao jamaa zetu ni wakutoka kwa jirani yako Tolu
View attachment 2011384
View attachment 2011385
View attachment 2011386
View attachment 2011387
Au tumpe DafuKwani nani alikuita hapa? Katafute maembe mabichi utafune
Wapo wanaovaa uniform na wapo wasiovaa uniform (ambao ni wengi) hivyo wanaovaa uniform wana sare zao tofauti na majeshi mengine
wewe ndio nakushauri katafute malimao na udongo ule manake kwa akili hizo muda si mrefu utawapa kazi manesi wa leba.Kwani nani alikuita hapa? Katafute maembe mabichi utafune
Acha kuandika story za vijiweni hapa sio fesibuku, bladfakeni
Pengine mkuu