Ungeona ayaonayo mwandishi usingepata USINGIZI siku kadhaa mfululizo.Udini unakusumbua sana mkuu,hapa umezunguka tu,.kwanini usiwe busy na hamsini zako kuliko kila siku kuja kulialia humu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungeona ayaonayo mwandishi usingepata USINGIZI siku kadhaa mfululizo.Udini unakusumbua sana mkuu,hapa umezunguka tu,.kwanini usiwe busy na hamsini zako kuliko kila siku kuja kulialia humu.
Kumbe wewe ni shetani na unajua huko jeraham kukoje?Yule aliombewa mpaka na mapadre Kwa hiyo yupo mbiguniYupo jehanam anawajibika kwa maovu yake
Inaumaaa sanaa š
Wewe mbwiga mtu haendi mbinguni kwa kuombewa bali kwa matendo yake mwenyewe yule dhalim mikono yake ilijaa damu za watu wasio na hatia.Kumbe wewe ni shetani na unajua huko jeraham kukoje?Yule aliombewa mpaka na mapadre Kwa hiyo yupo mbiguni
Naandika, nafuta, naandika nafuta,Wewe mbwiga mtu haendi mbinguni kwa kuombewa bali kwa matendo yake mwenyewe yule dhalim mikono yake ilijaa damu za watu wasio na hatia.
Mpoto kajitahidi sana kumhafifisha, sijui waliogopa Hayati JM atashangiliwa sana!Moyo umesinjaa kwa kile nimekiona leo ktk ufunguzi wa Majengo ya ikulu Dodoma.
Nawaza najiuliza na sipati majibu. Nimeenda mbali zaidi nikasema hata kama hatuamini juu ya uwepo wa Dunia nyingine tusio iyona watu wa siri mlishimdwa hata wauliza Mashekh juu ya elimu Dunia? Mh nadhani Kuna jambo serikali na chama wanalitafuta na JPM ndio anaenda kukamilisha jambo Hilo kwa kosa dogo sana. Kudhani Alisha lala na kwakuwa amelala "wema hawafi ila wabaya wanakufa" msemo ambao kinadharia ktk kiswahili chetu alie tumia msemo huu alitumia kuutweza utu wa mtu akijuwa kabisa maana ya neno hili sio vile aliwaza au aliteleza nani ajuwaye ila wakati utajibu.
Ndugu zangu wana ccm wachache naomba niwakumbushe jambo JPM hajafa JPM amelala na siku zijazo mziki utakuwa mzito kama ule mziki uliwakuta watu wa Zambia dhidi ya Kaunda. Sitaki kusema wala kuongea sana ila Zambia kaunda aliwatoa kamasi tena wakati akiwa hai sio amekufa.
Sitaki kuandika sana ila Chiluba alipo shika Nchi akaona yeye ndio Rais. Na kazi ni moja kufukua makaburi pasipo kukumbuka Mzee wa watu ame pambana sana kuifikisha Zambia pale ilifika wakamsweka ndani. Hayati Baba wa Taifa akaenda kumtoa kwa amri moja tu Chiluba mtoe huyo Mzee ndani. Mwisho wakunukuu. Sote tunajuwa Chiluba yalio mkuta na Yale yali ikuta Zambia baada ya mchezo wa hatari waliucheza.
Zambia ilikuwa haipoi mpaka pale waliposhituka nakuanza mpa heshima yake Mzee Kaunda ndipo Zambia ilipoa na maisha yakaendelea. Hakuna kiongozi alimgusa Kaunda alitoboašš¤. Nenda kasome History.
Naona dhambi ile ile walifanya wana siasa wa Zambia sasa CCM mnaifanya tena kwa kada mwenzenu mkijuwa kabisa what is the top secret š¤šš¤. Hongereni mmeweza.
Mmeachia watu tena makada wamseme vibaya na kumsuta usiku na mchana ila nyuma ya pazia mnaujuwa ukweli tena ukweli mchungu. Mbaya mnahangaika kumfuta hata ktk kazi amezifanya kwa ujasiri na moyo wa Imani kwa Taifa lake. Dam,machozi na kifo chake mnacho kuona kuwa ni sherehe nataka niwahakikishie juwa halito chomoza kabla hajasikia jogoo akilia mara tatu kama sio nne na mtakapo kumbuka itakuwa imekwisha.
Nawakumbusha chuki na maneno ya Hila kuidhoofisha nyota ya Rais huyu vitakuwa huzuni na mateso kwa chama maana hajafa na kamwe hamuwezi kumzika maana ameifia Imani ya chama chake kama kweli tulitaka mtu atakae nyoosha barabara.
Angalieni alama za nyakati, angalie aina ya nyakati tunaishi mkatubu na kumuomba radhi akiwa bado hajagairi Taifa hili mtaliacha na ukiwa. Ona kile kina enda tokea siku sio nyingi. Ona kile kinaenda wakumba wale wamedhani unaweza taka jina la mtu na kumkebei just amekufa hakuna wakumfanya kitu.
Mpoto umeimba wimbo mzuri ila umeifuta history ya Magufuli wewe Mpoto soma hii thread utajuwa hujuwi kumbe hata wewe? JPM anasema Asante
Msemaji wa Ikulu nimeona video nzuri ya ujenzi wa ikulu na history yake ila umefunga macho nakufunika Ukweli hukumtaja Magufuli hata sehem moja JPM anasema hajafa mawe na Ardhi ya Dodoma mahali ikulu ilijengwa yatajitangaza yenyewe wakati upepo unavuna ila Wewe jiulize Nani atakutangaza.
Mzee JK kweli Mzee wangu kweli hata wewe umesema serikali ya awamu ya Tano hukumtaja Magufuli. JPM anasema Asante sana yupo anaangalia mwisho utakavyokua.
Mh Mpango najuwa huzuni na mengi yalikupata ukasema hili nifahari yenu wa Tanzania. JPM anasema Asante ila anakukumbusha usisahau kile alikwambia ktk vikao. Yeye yupo anaangalia kile kinaendelea anasema usijali anakuombea malaika wa Mungu wakulinde.
JPM hajafa anashukuru kwa yote Mke wake alimuakilisha anasema Mama Janet uwe na moyo mkuu maana baada ya Maria Nyerere wewe ndio utakuwa Maria Nyerere wa kizazi cha sasa. Anasema usiogope na uzidi kumuomba Mungu na Yeye anakuombea. Amen.
Mh Baba Pengo nashukuru kwa kuitetea Imani nakukataa dhuluma juu ya haki. JPM anashukuru kwa kusimamia ukweli na hata kumtembelea kwenye nyumba yake ya milele. Anasema amefarijika sana. Anasema hata kama leo hamkuwepo ila amewaelewa na ana amani kubwa sana.
JPM anawakumbusha wa Tz kuwa bado hamjamkumbuka ila mtamkumbuka kwa machozi na maombolezo na vilio siku zijazo na ndipo mtakumbuka maneno yake. JPM anasema msihangaike kumtetea ila atajitetea na Mungu wake. Leo hakuongea ila mawe yataongea na watu wenye napenzi mema na Taifa wataongea wapo walio hata Susa kwenda kufungua ila anasema watashindana na wanadam ila sio Mungu. Hakuomba kufa mapema ila Mungu alimpenda zaid kazi kwao wanao mnanga na kumsuta je wataondokaje maana yeye ameumaliza mwendo kwa amani. Amen.
Mzee kikwete anatembea na laana ya taifaInasikitisha sana na kukuuliza hili taifa limekumbwa na kitu gani kiasi cha kushikwa na upofu wa viwango hivi.
Naamini haya yote yanafanyika ili kuonyesha ulimwengu na dunia kuwa hakuwahi kufanya jambo lolote zuri katika utawala wake. Lakini kama mtoa uzi ulivyosema mawe na watu wanyonge watautetea ukweli juu yake.
Hiyo ni kesi ya mbowe na rostam azzRemembering Ben Saa nane..
Hasa hasa huyu fedhuri mmakunduuchiHizo mbwa zote zitakufa amini nakwambia hawatashuhudia uchaguzi wa 2025. Mungu ni Mkuu na habagui.
Huyu mzee mwisho wake utakuwa mbaya sana. [emoji848]Mzee kikwete anatembea na laana ya taifa
Hivi Mfalme wenu wa Msoga leo alikuwa anaongea nini jukwaani!takataka
Haya makasiriko yako si ya kawaida.Unahitaji msaada wa kisaikolojia.Una pitia kipindi kigumu sana cha maisha na hasira zote umepeleka kwa aliyetangulia mbele ya haki.Tulia na utatue changamoto zako na utakuwa sawa na utayafurahia maisha tena.Kila mtu huwa anapitia hiki kipindi lakini tatizo lako hujui jinsi ya kukabiliana nazo na unadhani kugombana na Marehemu kutakupa ahueni.Mbwa mmemwacha Chato huko analamba mchanga 12" down.
Na sasa litakuwa lishaoza lile shetani baradhuli kabisa
Moyo umesinjaa kwa kile nimekiona leo ktk ufunguzi wa Majengo ya ikulu Dodoma.
Nawaza najiuliza na sipati majibu. Nimeenda mbali zaidi nikasema hata kama hatuamini juu ya uwepo wa Dunia nyingine tusio iyona watu wa siri mlishimdwa hata wauliza Mashekh juu ya elimu Dunia? Mh nadhani Kuna jambo serikali na chama wanalitafuta na JPM ndio anaenda kukamilisha jambo Hilo kwa kosa dogo sana. Kudhani Alisha lala na kwakuwa amelala "wema hawafi ila wabaya wanakufa" msemo ambao kinadharia ktk kiswahili chetu alie tumia msemo huu alitumia kuutweza utu wa mtu akijuwa kabisa maana ya neno hili sio vile aliwaza au aliteleza nani ajuwaye ila wakati utajibu.
Ndugu zangu wana ccm wachache naomba niwakumbushe jambo JPM hajafa JPM amelala na siku zijazo mziki utakuwa mzito kama ule mziki uliwakuta watu wa Zambia dhidi ya Kaunda. Sitaki kusema wala kuongea sana ila Zambia kaunda aliwatoa kamasi tena wakati akiwa hai sio amekufa.
Sitaki kuandika sana ila Chiluba alipo shika Nchi akaona yeye ndio Rais. Na kazi ni moja kufukua makaburi pasipo kukumbuka Mzee wa watu ame pambana sana kuifikisha Zambia pale ilifika wakamsweka ndani. Hayati Baba wa Taifa akaenda kumtoa kwa amri moja tu Chiluba mtoe huyo Mzee ndani. Mwisho wakunukuu. Sote tunajuwa Chiluba yalio mkuta na Yale yali ikuta Zambia baada ya mchezo wa hatari waliucheza.
Zambia ilikuwa haipoi mpaka pale waliposhituka nakuanza mpa heshima yake Mzee Kaunda ndipo Zambia ilipoa na maisha yakaendelea. Hakuna kiongozi alimgusa Kaunda alitoboašš¤. Nenda kasome History.
Naona dhambi ile ile walifanya wana siasa wa Zambia sasa CCM mnaifanya tena kwa kada mwenzenu mkijuwa kabisa what is the top secret š¤šš¤. Hongereni mmeweza.
Mmeachia watu tena makada wamseme vibaya na kumsuta usiku na mchana ila nyuma ya pazia mnaujuwa ukweli tena ukweli mchungu. Mbaya mnahangaika kumfuta hata ktk kazi amezifanya kwa ujasiri na moyo wa Imani kwa Taifa lake. Dam,machozi na kifo chake mnacho kuona kuwa ni sherehe nataka niwahakikishie juwa halito chomoza kabla hajasikia jogoo akilia mara tatu kama sio nne na mtakapo kumbuka itakuwa imekwisha.
Nawakumbusha chuki na maneno ya Hila kuidhoofisha nyota ya Rais huyu vitakuwa huzuni na mateso kwa chama maana hajafa na kamwe hamuwezi kumzika maana ameifia Imani ya chama chake kama kweli tulitaka mtu atakae nyoosha barabara.
Angalieni alama za nyakati, angalie aina ya nyakati tunaishi mkatubu na kumuomba radhi akiwa bado hajagairi Taifa hili mtaliacha na ukiwa. Ona kile kina enda tokea siku sio nyingi. Ona kile kinaenda wakumba wale wamedhani unaweza taka jina la mtu na kumkebei just amekufa hakuna wakumfanya kitu.
Mpoto umeimba wimbo mzuri ila umeifuta history ya Magufuli wewe Mpoto soma hii thread utajuwa hujuwi kumbe hata wewe? JPM anasema Asante
Msemaji wa Ikulu nimeona video nzuri ya ujenzi wa ikulu na history yake ila umefunga macho nakufunika Ukweli hukumtaja Magufuli hata sehem moja JPM anasema hajafa mawe na Ardhi ya Dodoma mahali ikulu ilijengwa yatajitangaza yenyewe wakati upepo unavuna ila Wewe jiulize Nani atakutangaza.
Mzee JK kweli Mzee wangu kweli hata wewe umesema serikali ya awamu ya Tano hukumtaja Magufuli. JPM anasema Asante sana yupo anaangalia mwisho utakavyokua.
Mh Mpango najuwa huzuni na mengi yalikupata ukasema hili nifahari yenu wa Tanzania. JPM anasema Asante ila anakukumbusha usisahau kile alikwambia ktk vikao. Yeye yupo anaangalia kile kinaendelea anasema usijali anakuombea malaika wa Mungu wakulinde.
JPM hajafa anashukuru kwa yote Mke wake alimuakilisha anasema Mama Janet uwe na moyo mkuu maana baada ya Maria Nyerere wewe ndio utakuwa Maria Nyerere wa kizazi cha sasa. Anasema usiogope na uzidi kumuomba Mungu na Yeye anakuombea. Amen.
Mh Baba Pengo nashukuru kwa kuitetea Imani nakukataa dhuluma juu ya haki. JPM anashukuru kwa kusimamia ukweli na hata kumtembelea kwenye nyumba yake ya milele. Anasema amefarijika sana. Anasema hata kama leo hamkuwepo ila amewaelewa na ana amani kubwa sana.
JPM anawakumbusha wa Tz kuwa bado hamjamkumbuka ila mtamkumbuka kwa machozi na maombolezo na vilio siku zijazo na ndipo mtakumbuka maneno yake. JPM anasema msihangaike kumtetea ila atajitetea na Mungu wake. Leo hakuongea ila mawe yataongea na watu wenye napenzi mema na Taifa wataongea wapo walio hata Susa kwenda kufungua ila anasema watashindana na wanadam ila sio Mungu. Hakuomba kufa mapema ila Mungu alimpenda zaid kazi kwao wanao mnanga na kumsuta je wataondokaje maana yeye ameumaliza mwendo kwa amani. Amen.
Siku zake zina hesabika ...ni swala la muda tuHuyu mzee mwisho wake utakuwa mbaya sana. [emoji848]
Hata uso wake unaonesha ni mtu mwenye hila na ajenda za mficho.