Baba JPM hajafa ila amelala ufunguzi wa ikulu leo alikuwepo japo hakuongea😭🤐

Wale wajuaji wa jamiiforums huwa wanakuja kushtuka wakiwa wamechelewa.

Nakumbuka tahadhari ya kifo cha membe ilitolewa wiki mbili kabla lakini wajuaji wa jamiiforums wakajitia ubishi mpaka KACHERO MBOBEZI kadedi kihasara.

Humu pamejaa mamburulaz na mavyeti feki, haya mambo ni magumu kuelewa.
 
Mpoto kajitahidi sana kumhafifisha, sijui waliogopa Hayati JM atashangiliwa sana!
 
Mzee kikwete anatembea na laana ya taifa
 
Hasty generalization kabisa hii.

Hivi hujiulizi JKN kahudumu miaka 24

AHM miaka 10.

BWM miaka 10.

JK miaka 10.

Na JPM miaka 5 unusu .

Kati ya wote hao kibinadamu wote wana mapungufu hata mazuri yao ila haiondoi chama walichopo/kuwepo kimetufikisha hapa tulipo na ninakichukia hasa.

Tuje kwa JPM aliyehudumu kipindi kifupi kupita wote hujiulizi kwanini ndio anasemwa vibaya kuliko wote je watu wanaomsema unafikiri kila kitu wanatunga japo vya kutunga kuhusu ubaya vipo ila vyenye ukweli vipo mfano hebu kumbuka kauli hii

"Mkimchagua mpinzani sileti maji" je unadhani watu wote wa pale Tunduma watampenda JPM kwa kauli hii?

Hebu angalia hapa wanahabari na hata wakosoaji waliomsema walivyopigwa mkwara mzito


Je unafikiri kama aliwakataza kumsema akiwa hai sababu aliwatisha wataacha kumsema akiwa amekufa.

Watu kama Ben Saanane , Azory Gwanda na Tundu Lissu walifanyiwa ukatii katika awamu ile na wengineo wengi walio hai , waliopotezwa bila kujulikana , waliokimbilia uhamishoni unataka wampende kama unavyompenda usiwanyime haki yao ya kutokumpenda pia.

Mwisho tu mjiulize kifo cha JPM na Mkapa kilitofautiana miezi 10 tu ila kwanini humu hakuna thread za kumnanga Mkapa ambaye alihudumu miaka 10 na JPM miaka 5 unusu?
 
Mbwa mmemwacha Chato huko analamba mchanga 12" down.
Na sasa litakuwa lishaoza lile shetani baradhuli kabisa
Haya makasiriko yako si ya kawaida.Unahitaji msaada wa kisaikolojia.Una pitia kipindi kigumu sana cha maisha na hasira zote umepeleka kwa aliyetangulia mbele ya haki.Tulia na utatue changamoto zako na utakuwa sawa na utayafurahia maisha tena.Kila mtu huwa anapitia hiki kipindi lakini tatizo lako hujui jinsi ya kukabiliana nazo na unadhani kugombana na Marehemu kutakupa ahueni.
 
Amekuwa Malaika!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…