GE2025 Baba Levo achukua fomu jimbo la Kigoma mjini kupitia CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
Msanii na Mtangazaji Clayton Revocatus Chipando maarufu kwa jina la Baba Levo ( @officialbabalevo ) , leo June 29 2025 amechukua fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025..

Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa Baba Levo kujitokeza kuwania kiti cha Ubunge ambapo amechukua fomu hiyo na kuirejesha leoleo baada ya dakika kumi na tano za kuijaza.

Baba Levo aliwahi kuwa Diwani wa Kata ya Mwanga Kaskazini Mkoani Kigoma kupitia Chama cha ACT-Wazalendo kati ya mwaka 2015 hadi 2020.

1751190512448.png

1751190584140.png
 
Ndo huyu alisema anatamani kupewa mimba na diamond?
 
Bunge linaisimamia serikali kweli au linaisifu serikali? Mbona kama linaendelea kuishiwa umhimu wake ktk nchi?? Kuna haja ya kufanya reforms kuhusu sifa za kuwa mbunge
 
Wale walioambulia kula mojamoja za wajumbe 2020 hawana hata hamu uchaguzi huu!

Wajumbe hawaijui hata Instagram!!
 
Nani kakudanganya au unamdanganya nani hapa? Bila kubadili katiba mbeleko ndivyo zinavyozidi kila uchaguzi,
Aka wabunge wa mwendazake ambao hata kura za maoni hawakushinda, ila marehem alisabotage

Kwenye ushidan fair ataweza kweli?

Sizungumzii ushindani nje ya chama ,bali ndani
 
Back
Top Bottom