GE2025 Baba Levo achukua fomu jimbo la Kigoma mjini kupitia CCM

GE2025 Baba Levo achukua fomu jimbo la Kigoma mjini kupitia CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Aka wabunge wa mwendazake ambao hata kura za maoni hawakushinda, ila marehem alisabotage

Kwenye ushidan fair ataweza kweli?

Sizungumzii ushindani nje ya chama ,bali ndani
Hata mwaka huu ni wengi tu watashinda kura za maoni lakini hawatapitishwa. Unadhani mtu kama hiki ki-mama ki-spika hata kikishindwa Kibibi kitamsotosa?
 
Chawa mwenzake (chief chawa) mwijaku anagombea jimbo la mvomero anaweza kushinda, ila yaye kigoma mjini kwa serukamba hatoboi
 
Back
Top Bottom