Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Kumbuka pia alishawahi kuwa diwani huko KigomaKama Babu Tale kaweza yeye nani🤣🤣
Ndo huyu alisema anatamani kupewa mimba na diamond?Msanii na Mtangazaji Clayton Revocatus Chipando maarufu kwa jina la Baba Levo ( @officialbabalevo ) , leo June 29 2025 amechukua fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025..
Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa Baba Levo kujitokeza kuwania kiti cha Ubunge ambapo amechukua fomu hiyo na kuirejesha leoleo baada ya dakika kumi na tano za kuijaza.
Baba Levo aliwahi kuwa Diwani wa Kata ya Mwanga Kaskazini Mkoani Kigoma kupitia Chama cha ACT-Wazalendo kati ya mwaka 2015 hadi 2020.
Babu tale ni wale wa niletee fulani, ila kwa sasa mbeleko haipoKama Babu Tale kaweza yeye nani🤣🤣
Ndiye🤣Ndo huyu alisema anatamani kupewa mimba na diamond?
Nani kakudanganya au unamdanganya nani hapa? Bila kubadili katiba mbeleko ndivyo zinavyozidi kila uchaguzi,Babu tale ni wale wa niletee fulani, ila kwa sasa mbeleko haipo
Bunge linaisimamia serikali kweli au linaisifu serikali? Mbona kama linaendelea kuishiwa umhimu wake ktk nchi?? Kuna haja ya kufanya reforms kuhusu sifa za kuwa mbungeMsanii na Mtangazaji Clayton Revocatus Chipando maarufu kwa jina la Baba Levo ( @officialbabalevo ) , leo June 29 2025 amechukua fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025..
Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa Baba Levo kujitokeza kuwania kiti cha Ubunge ambapo amechukua fomu hiyo na kuirejesha leoleo baada ya dakika kumi na tano za kuijaza.
Baba Levo aliwahi kuwa Diwani wa Kata ya Mwanga Kaskazini Mkoani Kigoma kupitia Chama cha ACT-Wazalendo kati ya mwaka 2015 hadi 2020.
Huyo HuyoNdo huyu alisema anatamani kupewa mimba na diamond?
Baba Wa Miraba Minne AmzalieYupo tyr kumzalia diamond 🤔
Hahahaha htre sanaBaba Wa Miraba Minne Amzalie
Aka wabunge wa mwendazake ambao hata kura za maoni hawakushinda, ila marehem alisabotageNani kakudanganya au unamdanganya nani hapa? Bila kubadili katiba mbeleko ndivyo zinavyozidi kila uchaguzi,