Ngiama makanda JF-Expert Member Joined Jan 8, 2016 Posts 2,208 Reaction score 3,938 Jun 29, 2025 #21 posho yote itakuwa inaishia kwenye betting, mbunge anaingia kikaoni na mikeka mfukoni
macho_mdiliko Platinum Member Joined Mar 10, 2008 Posts 29,500 Reaction score 61,451 Jun 29, 2025 #22 Detective J said: Aka wabunge wa mwendazake ambao hata kura za maoni hawakushinda, ila marehem alisabotage Kwenye ushidan fair ataweza kweli? Sizungumzii ushindani nje ya chama ,bali ndani Click to expand... Hata mwaka huu ni wengi tu watashinda kura za maoni lakini hawatapitishwa. Unadhani mtu kama hiki ki-mama ki-spika hata kikishindwa Kibibi kitamsotosa?
Detective J said: Aka wabunge wa mwendazake ambao hata kura za maoni hawakushinda, ila marehem alisabotage Kwenye ushidan fair ataweza kweli? Sizungumzii ushindani nje ya chama ,bali ndani Click to expand... Hata mwaka huu ni wengi tu watashinda kura za maoni lakini hawatapitishwa. Unadhani mtu kama hiki ki-mama ki-spika hata kikishindwa Kibibi kitamsotosa?
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 29, 2025 #23 Vituko siasani
U Umsolopagaasi JF-Expert Member Joined Aug 16, 2014 Posts 940 Reaction score 975 Jun 29, 2025 #24 Write your reply...atashinda kwa kishindo
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 29,814 Reaction score 47,414 Jun 29, 2025 #25 Chawa mwenzake (chief chawa) mwijaku anagombea jimbo la mvomero anaweza kushinda, ila yaye kigoma mjini kwa serukamba hatoboi
Chawa mwenzake (chief chawa) mwijaku anagombea jimbo la mvomero anaweza kushinda, ila yaye kigoma mjini kwa serukamba hatoboi
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 75,495 Reaction score 185,562 Jul 2, 2025 #26 Smart911 said: Kila la kheri zake... Cc: Mahondaw Click to expand... Kupatwa kwa siasa!