Baba Levo adai kushambuliwa na Harmonize

Baba Levo adai kushambuliwa na Harmonize

Wote hao wapuz na washamba tu

Huyo harmonise ndiyo mshamba kabisa

Ova
 
Wote hao wapuz na washamba tu

Huyo harmonise ndiyo mshamba kabisa

Ova
Wote ni washamba hatukatai,ila Bora aliyekuja mjini na usafiri wenye taa mbili kuliko huyo aliyevamia mji na usafiri wa taa Moja😁
 
Na mwijaku nae inatakiwa achezee kichapo
 
Huko Daslamu kuna hekaheka sana aisee,huyo sijui Baba levo ndio kwanza namsikia hapa.
 
Mwanamuziki na mtangazaji wa Wasafi Fm Babalevo adai kushambuliwa na mwanamuziki Harmonize.

Baba Levo ametoa taarifa hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram. Pamoja na kutoa taarifa hiyo Baba Levo hajaweka wazi sababu ya kushambuliwa na mwanamuziki huyo.

View attachment 2900437
kwahiyo insta ndo polisi au mahakama...
 
Hivi una muda kabisa wa kuwafatilia hao wasengerema kazi ipo!!
 
Wote ni washamba hatukatai,ila Bora aliyekuja mjini na usafiri wenye taa mbili kuliko huyo aliyevamia mji na usafiri wa taa Moja[emoji16]
Juzi kati hapa nlikua naenda mlimani City nlikuwa na appointment na mtu hapo sehemu,kumbe sjui hapo kulikuwa na uzinduzi wa movie ya beekeeper kitu kama hicho,kulikuwa na kanyomi kdg
Sasa pale mlimani sahv hawaruhusu watu wenye magari yenye chases# kuingia ss jamaa harmonise akaingia na gari lenye chases walinzi pale wakawa wanamzuia kulikuwa na kasongombingo kdg,ila aliingiza gari na walimtoa upepo wa 100,000
Ila kwa attitude zqke jamaa bado mshamba sana

Ova
 
Wanaume sijui tumekumbwa na nini. Yani mwanaume analia mtandaoni kabisa kuwa kapigwa na mwanaume mwenzie.

Dunia kweli imefika hatamu.
 
Back
Top Bottom