reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
Angemtoa domo lileNaingoja sana hiyo clip, nimefurahi [emoji1787][emoji1787]
Mwanaume anaongea kama anaharisha kaahhh
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angemtoa domo lileNaingoja sana hiyo clip, nimefurahi [emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna clip moja wapo kwenye gari na Diamond wapo tungi,Diamond akawa anawagombeza mabaunsa wake kwa kuzubaa, yeye yuko siti ya nyuma anakoleza " mlikuwa wapi halafu nitawazingua nye".
Sent using Jamii Forums mobile app
Wote ni washamba hatukatai,ila Bora aliyekuja mjini na usafiri wenye taa mbili kuliko huyo aliyevamia mji na usafiri wa taa Moja😁Wote hao wapuz na washamba tu
Huyo harmonise ndiyo mshamba kabisa
Ova
Mange huko anaitafuta clip kwa 1M. Sijui washaipata 🤣Naingoja sana hiyo clip, nimefurahi 🤣🤣
Kadharaulisha waha [emoji2]duh mwanaume unaacha kupambana kiume eti unaandika kabisa kuwa umeshambuliwa! yaani umebondwa kama ngoma!
Imagine mbuzi kama huyu alikua diwani wa chadema miaka kadhaa nyumaAmezidi mdomo acha apigwe
kwahiyo insta ndo polisi au mahakama...Mwanamuziki na mtangazaji wa Wasafi Fm Babalevo adai kushambuliwa na mwanamuziki Harmonize.
Baba Levo ametoa taarifa hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram. Pamoja na kutoa taarifa hiyo Baba Levo hajaweka wazi sababu ya kushambuliwa na mwanamuziki huyo.
View attachment 2900437
Hivi ni kiume kweli yule?akaguliweAngemtoa domo lile
Mwanaume anaongea kama anaharisha kaahhh
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Jamani wenye nayo si wampe tu wachangamkie hiyo M?yaani ntacheka sanaMange huko anaitafuta clip kwa 1M. Sijui washaipata 🤣
Much know kwelikweliKwakweli yule baba kiherehere chake kinakeraa
Juzi kati hapa nlikua naenda mlimani City nlikuwa na appointment na mtu hapo sehemu,kumbe sjui hapo kulikuwa na uzinduzi wa movie ya beekeeper kitu kama hicho,kulikuwa na kanyomi kdgWote ni washamba hatukatai,ila Bora aliyekuja mjini na usafiri wenye taa mbili kuliko huyo aliyevamia mji na usafiri wa taa Moja[emoji16]
Mji umevamiwa aiseHuko Daslamu kuna hekaheka sana aisee,huyo sijui Baba levo ndio kwanza namsikia hapa.
So he is telling
Snitch
Next atachukua restraining order on him?