Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Ugomvi wa wanawake utachoambulia kuona vyupi tu.Na nyie mnajuana wenyewe. Sisi wanaume hayo hayatuhusu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ugomvi wa wanawake utachoambulia kuona vyupi tu.Na nyie mnajuana wenyewe. Sisi wanaume hayo hayatuhusu
Kaka kwenye mambo ya serious yule Jamaa Yuko vizuri.Imagine mbuzi kama huyu alikua diwani wa chadema miaka kadhaa nyuma
Na mimi ndio nilikua namjua hivyo. Sasa kwann yuko hiv now??Kaka kwenye mambo ya serious yule Jamaa Yuko vizuri.
👉Kapambania sana kigoma
Maokoto Kaka😆😂, sema ni hustler foani nomaa.Na mimi ndio nilikua namjua hivyo. Sasa kwann yuko hiv now??
Acha wampige tu 😂Mwanamuziki na mtangazaji wa Wasafi Fm Babalevo adai kushambuliwa na mwanamuziki Harmonize.
Baba Levo ametoa taarifa hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram. Pamoja na kutoa taarifa hiyo Baba Levo hajaweka wazi sababu ya kushambuliwa na mwanamuziki huyo.
View attachment 2900437
[emoji28][emoji28] naikumbuka iyoKuna clip moja wapo kwenye gari na Diamond wapo tungi,Diamond akawa anawagombeza mabaunsa wake kwa kuzubaa, yeye yuko siti ya nyuma anakoleza " mlikuwa wapi halafu nitawazingua nye".
Sent using Jamii Forums mobile app
ZipoTanzania kuna restraining order?
[emoji23][emoji23][emoji23]Amezidi mdomo acha apigwe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Angemtoa domo lile
Mwanaume anaongea kama anaharisha kaahhh
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanaume sijui tumekumbwa na nini. Yani mwanaume analia mtandaoni kabisa kuwa kapigwa na mwanaume mwenzie.
Dunia kweli imefika hatamu.