Baba Levo adai kushambuliwa na Harmonize

Baba Levo adai kushambuliwa na Harmonize

Aikooooh chawa baba levo na ukubwa wake ule na urefu wake amepigwa na harmonize kadogo ogo kamenenepeana? 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 , ila baba levo alisha kaa jela atakua anaelewa anacho kifanya
 
Na angepiga mpaka avunjwe kiuno mbuzi mmoja yule,atakuwa Kamletea zile za kichawa.
 
Back
Top Bottom