tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Tatizo baba levo analeta drama za rafiki yake mwijakuBaba Levo agoma, anataka kura zihesabiwe upya
View attachment 3431979
Soma pia: Baba Levo achukua fomu jimbo la Kigoma mjini kupitia CCM
Chanzo: Kitenge updates
Huyu hiyo kamati kuu ikimpitisha, ndo ntaamini rasmi maneno ya polepole kwamba kuna wahuni nchiniBaba Levo agoma, anataka kura zihesabiwe upya
View attachment 3431979
Soma pia: Baba Levo achukua fomu jimbo la Kigoma mjini kupitia CCM
Chanzo: Kitenge updates
Amekinukisha 😂😂😂Baba Levo agoma, anataka kura zihesabiwe upya
View attachment 3431979
Soma pia: Baba Levo achukua fomu jimbo la Kigoma mjini kupitia CCM
Chanzo: Kitenge updates
Hana adabu hafai kuwa mbungaMtia nia wa Ubunge jimbo la Kigoma Mjini Clayton Chipando maarufu baba leo alitaka kura zihesabiwe upya.
Aliyyeshinda kihalali ni aliyetangazwa, siye aliyepata kura nyingi kwa ballot box,Baba levo nachojua ameshinda kihalali
Atakatwa huyo jamaa kwakuwa kaiba kura pia hakubaliki.Aliyyeshinda kihalali ni aliyetangazwa, siye aliyepata kura nyingi kwa ballot box,
Unataka haki ndani ya CCM!
Wizi wa kura ni "sunna" ndani ya chama hicho.Atakatwa huyo jamaa kwakuwa kaiba kura pia hakubaliki.