johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
HakikaUkweli Baba Levo kaibiwa kura
Mtu kama baba Levo wa kumuibia kura kweli? πΌπ
Jamani yaani hadi huyo bwana mdogo baba Levo aliyekuwa Diwani na baadae kufungwa jela anaibiwa Kura na ma alhaj wa Ujiji?!!!!
Apewe Ushindi wake πΌπ
hajaibiwa hizo alizopata ndio halali yakeMtu kama baba Levo wa kumuibia kura kweli? πΌ
Uchaguzi utarudiwa kama kule Ilula Prof Msola vs Venance Mwamoto Enzi za Kikwete πhajaibiwa hizo alizopata ndio halali yake
hakuna kitu ya namna hioUchaguzi utarudiwa kama kule Ilula Prof Msola vs Venance Mwamoto Enzi za Kikwete π
hakuna kitu ya namna hioUchaguzi utarudiwa kama kule Ilula Prof Msola vs Venance Mwamoto Enzi za Kikwete π
Jamani kwanNdugai matokeo ni yapi?