J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 104,319 Reaction score 183,639 Aug 5, 2025 #101 johnthebaptist said: Kukinukisha ni Uhaini Click to expand... Vipi unaenda ACT wazalendo? πβοΈ
The Burning Spear JF-Expert Member Joined Dec 23, 2011 Posts 9,205 Reaction score 22,219 Aug 5, 2025 #102 Sexless said: Kwahiyo adabu ni kukubali dhulma Click to expand... hapo kafanya fujo kwenye chama angekuwa mpinzani kama sisi siyo kesi
Sexless said: Kwahiyo adabu ni kukubali dhulma Click to expand... hapo kafanya fujo kwenye chama angekuwa mpinzani kama sisi siyo kesi
E Extroverted Introvert JF-Expert Member Joined Aug 18, 2022 Posts 1,145 Reaction score 2,937 Aug 5, 2025 #103 Mbona kama ni maigizo. Ukiangalia kwenye kioo, ukumbi unaonekana hauna watu, viti vyote viko wazi. Sasa hayo majibu alikuwa anasomewa nani?
Mbona kama ni maigizo. Ukiangalia kwenye kioo, ukumbi unaonekana hauna watu, viti vyote viko wazi. Sasa hayo majibu alikuwa anasomewa nani?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Nov 23, 2025 #104 Yagangwe yajayo... Cc: Mahondaw