Kivule
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 639
- 662
Kwa upande wangu sijaona kero yoyote sababu Babalevo ni comedian, kuna vitu anaongea ili afanye watu wafurahi tu.Sidhani kama watu wanachukia mafanikio yake. Watu wamekuwa bored na matendo yake, amekuwa too much mpaka kero.
Sasa huyo akifukuzwa kazi si atakufa kabisa, au anafikiri ameshakuwa mama Dangote sasa.