Professor, waziri wanajitoa ufahamu tena wana act kabisa wakati wanajuwa ukweli sembuse huyu mtu anasema hakupata bahati ya kusoma. Boss is always right. Kuna tofauti aliyekusaidia na mtu anaye endelea kukusaida.Sawa lakini sio kwe level.hiyo...wapo watu waliosaidiwa sana lakini huko.ni kujitoa ufahamu