Baba Levo akiwa usafini

Sidhani kama watu wanachukia mafanikio yake. Watu wamekuwa bored na matendo yake, amekuwa too much mpaka kero.

Sasa huyo akifukuzwa kazi si atakufa kabisa, au anafikiri ameshakuwa mama Dangote sasa.
Kwa upande wangu sijaona kero yoyote sababu Babalevo ni comedian, kuna vitu anaongea ili afanye watu wafurahi tu.
 
Kwa upande wangu sijaona kero yoyote sababu Babalevo ni comedian, kuna vitu anaongea ili afanye watu wafurahi tu.
Yes, alikuwa hivyo ila sasa hivi hafanyi comedy. Amegeuka taahira fulani.

Mimi napenda comedy hata yeye nilikuwa namfollow, alivyoanza utaagira mara aanze kutukanana na watu nikamwona siyo riziki tena
 
Watu wanaongea Tu ila haya maisha ukikosa Raman af itokee gap kama hyo daah.... Sawa Sawa na wale wanaowazomea akina blaya au maalim
 
Kwa upande wangu sijaona kero yoyote sababu Babalevo ni comedian, kuna vitu anaongea ili afanye watu wafurahi tu.
Comedy ni kama proffesional nyingine, inabd iwe na mipaka sasa mtu kujitoa ufaham kwa kisingizio cha kuwa comedian ni utahiraaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…