Baba Levo akiwa usafini

Comedy ni kama proffesional nyingine, inabd iwe na mipaka sasa mtu kujitoa ufaham kwa kisingizio cha kuwa comedian ni utahiraaaa
Kama inampa pesa, mafanikio na kuwasaidia ndugu zake mie sioni tatizo. Ili mradi havunji sheria za nchi na anapata mafanikio kupitia anachofanya mie sioni tatizo.
 
Sema jamaa ni comedian kuliko kina Joti na Mpoki, halazimishi yaani anachekesha ile naturally.
 
Umri na mwili wake haviendani kabisa na matendo yake..hayupo sawa kiakili
 
Kuna watu wamepitia life gumu hatari basi tuu...huyu anataka kupakuliwa tuu
 
Kuna watu wamepitia life gumu hatari basi tuu...huyu anataka kupakuliwa tuu
Lazima u support kinachokupa kula. Mawaziri na viongozi wengi wanajitoa akili kumpigia debe mzee na hawana njaa kihivyo sembuse Baba Levo.
 
Na kuwa watu walishawahi kumchagua kuwa diwani wao [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Lazima u support kinachokupa kula. Mawaziri na viongozi wengi wanajitoa akili kumpigia debe mzee na hawana njaa kihivyo sembuse Baba Levo.
Sawa lakini sio kwe level.hiyo...wapo watu waliosaidiwa sana lakini huko.ni kujitoa ufahamu
 
Mkuu. Hivi kushangaa mwanaume kutamani kuwa mwanamke ili amzalie boss wake watoto watatu. Huo ndio wivu na roho mbayaaaaa. ?

Binafsi kitendo cha kutamani kuzaa ili kumfurahisha boss wake. Kimeniudhi mnoo
 
Sidhani kama watu wanachukia mafanikio yake. Watu wamekuwa bored na matendo yake, amekuwa too much mpaka kero.

Sasa huyo akifukuzwa kazi si atakufa kabisa, au anafikiri ameshakuwa mama Dangote sasa.
Sasa vipi mnakua bored wakati hayo ni maisha yake aliochagua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…