H Heijah JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 5,466 Reaction score 8,937 Feb 7, 2021 #61 kidadari said: Sawa lakini sio kwe level.hiyo...wapo watu waliosaidiwa sana lakini huko.ni kujitoa ufahamu Click to expand... Professor, waziri wanajitoa ufahamu tena wana act kabisa wakati wanajuwa ukweli sembuse huyu mtu anasema hakupata bahati ya kusoma. Boss is always right. Kuna tofauti aliyekusaidia na mtu anaye endelea kukusaida.
kidadari said: Sawa lakini sio kwe level.hiyo...wapo watu waliosaidiwa sana lakini huko.ni kujitoa ufahamu Click to expand... Professor, waziri wanajitoa ufahamu tena wana act kabisa wakati wanajuwa ukweli sembuse huyu mtu anasema hakupata bahati ya kusoma. Boss is always right. Kuna tofauti aliyekusaidia na mtu anaye endelea kukusaida.