Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Akifanya mahojiano katika kipindi cha Medani Kuu na Chief Odema, Mbunge Kigoma Mjini, Clayton Revocatus Chiponda 'Baba Levo' amesema kuwa anaekataa CHADEMA sio chama kikubwa cha upinzani huyo mtu kichwa chake kitakuwa kina shida. Mimi nakiheshimu sana chama cha CHADEMA kimeleta upinzani nchini kwa muda mrefu. Mimi napenda kukosolewa na nilijisikia vibaya walivyofungiwa kushiriki kwenye kwenye Uchaguzi.