Baba Levo ashangaa Mwana FA kutopenda mafanikio ya Diamond

B... wananivunjia heshima sana hawa watu, sijui kwanini watu wa JF wa siku hizi wengi wao ni kama vichwa vyepesi sana.

Ova
B... tatizo linaanzia kwa huyo aliyekuiga, kwanini asianzishe kitu chake mwenyewe? Na hivi ulipotea muda mrefu wasiokujua ni ngumu kujua hilo.
Japo, aliyefananisha angetumia muda kidogo tu angejua nyinyi ni watu wawili tofauti kabisa.
Pole b...
 
Kwa
Kwani unafanikiwa ili upongezwe?
Km ndiyo,basi acha kuyatafuta mafanikio.
 
Ma celebrity mengine ni kama ma vampire yanayoishi kwa likes na post za watu.

Msipoyapost yanaona kama yatakufa hivi. Kama yamekosa chakula.

Kwani lazima kupendwa na kila mtu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…