Baba Levo ashangaa Mwana FA kutopenda mafanikio ya Diamond

Baba Levo ashangaa Mwana FA kutopenda mafanikio ya Diamond

B... wananivunjia heshima sana hawa watu, sijui kwanini watu wa JF wa siku hizi wengi wao ni kama vichwa vyepesi sana.

Ova
B... tatizo linaanzia kwa huyo aliyekuiga, kwanini asianzishe kitu chake mwenyewe? Na hivi ulipotea muda mrefu wasiokujua ni ngumu kujua hilo.
Japo, aliyefananisha angetumia muda kidogo tu angejua nyinyi ni watu wawili tofauti kabisa.
Pole b...
 
Kwa
View attachment 2806389

Kwa mujibu wa Babalevo ni kitu cha ajabu Mwana Fa ambae amepewa dhamana ya kuongoza wizara ya sanaa kuonyesha chuki za wazi wazi kwa Diamond Platnumz.

Wengine walifikiri akishakuwa kiongozi wa serikali chuki zake za miaka yote angezisimamisha kwa muda. Lakini ameshindwa kujizuia.

Watu wanauliza. Je viatu vya uwaziri vinamtosha mbunge huyu wa kimemo?

Tangu awe waziri amesaidia nini wasanii wenzie?

Yale aliyokuwa anayapigia kelele alipokuwa kiongozi wa wasanii mbona ameyasahu ameishia kufungia nyimbo za wenzie za kwake za kusifia ngono hazikuwai fungiwa.

Tuzo za MTV ni tuzo kubwa sana ambazo mpaka sasa Diamond ndio anaongoza Africa kwaetuzo nyingi za MTV. Hata hongera tu?

Tuzo za Trace ndio tuzo kubwa za bara la Africa, Diamond alipata tuzo na kupafom appearances 3. Alipongezwa na wote ila sio waziri ambae ni msanii mwenzie.

Kifupi tunaweza sema hamis mwinjuma ni waziri nzigo apishe wanaoweza kazi anampigisha shoti Maza.
Kwani unafanikiwa ili upongezwe?
Km ndiyo,basi acha kuyatafuta mafanikio.
 
Ma celebrity mengine ni kama ma vampire yanayoishi kwa likes na post za watu.

Msipoyapost yanaona kama yatakufa hivi. Kama yamekosa chakula.

Kwani lazima kupendwa na kila mtu?
 
Back
Top Bottom