Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana wa ovyo watakwambia na wewe ufe, ila ni mambo ya aibu hadi kutamani kuzaa na mwanaume mwenzio kisa boss na uchawa kiwango kikubwa cha kujidhalilisha na kutweza uanaume aiseeSometimes naona waliokufa miaka 10 iliyopita wameokolewa kuona utumbo mwingi WA nchi hii
Sijajua kwani hawa wapuuzi wawili Baba Levo na Mwijaku wanapewa airtime. Naona wamekuwa watu wa kuwafitinisha watu kwa ajili ya matumbo yao.View attachment 2806389
Kwa mujibu wa Babalevo ni kitu cha ajabu Mwana Fa ambae amepewa dhamana ya kuongoza wizara ya sanaa kuonyesha chuki za wazi wazi kwa Diamond Platnumz.
Wengine walifikiri akishakuwa kiongozi wa serikali chuki zake za miaka yote angezisimamisha kwa muda. Lakini ameshindwa kujizuia.
Watu wanauliza. Je viatu vya uwaziri vinamtosha mbunge huyu wa kimemo?
Tangu awe waziri amesaidia nini wasanii wenzie?
Yale aliyokuwa anayapigia kelele alipokuwa kiongozi wa wasanii mbona ameyasahu ameishia kufungia nyimbo za wenzie za kwake za kusifia ngono hazikuwai fungiwa.
Tuzo za MTV ni tuzo kubwa sana ambazo mpaka sasa Diamond ndio anaongoza Africa kwaetuzo nyingi za MTV. Hata hongera tu?
Tuzo za Trace ndio tuzo kubwa za bara la Africa, Diamond alipata tuzo na kupafom appearances 3. Alipongezwa na wote ila sio waziri ambae ni msanii mwenzie.
Kifupi tunaweza sema hamis mwinjuma ni waziri nzigo apishe wanaoweza kazi anampigisha shoti Maza.
Tatizo ye mond, yule alivyopata ubunge, mpaka unaibu ye alimpongeza au kumpost, maana tusiegemee pande mmoja.View attachment 2806532
Sawa ni ukurasa wake ila yeye ni waziri wivu wake na chuki angevipumzisha kwanza.
Hili namtetea Baada ya MwanaFA kuteuliwa Diamond alimpost na kumpongeza kwenye Insta story yake ila Baba levo ilipaswa apige kimya kwasababu hakukua na sababu zozote zile za msingi za kuandika ule ujinga kwa maana fa ukizingatia kwamba tunajua huwa hawa Jamaa hazipandi.Tatizo ye mond, yule alivyopata ubunge, mpaka unaibu ye alimpongeza au kumpost, maana tusiegemee pande mmoja.
Waziri wa memoView attachment 2806389
Kwa mujibu wa Babalevo ni kitu cha ajabu Mwana Fa ambae amepewa dhamana ya kuongoza wizara ya sanaa kuonyesha chuki za wazi wazi kwa Diamond Platnumz.
Wengine walifikiri akishakuwa kiongozi wa serikali chuki zake za miaka yote angezisimamisha kwa muda. Lakini ameshindwa kujizuia.
Watu wanauliza. Je viatu vya uwaziri vinamtosha mbunge huyu wa kimemo?
Tangu awe waziri amesaidia nini wasanii wenzie?
Yale aliyokuwa anayapigia kelele alipokuwa kiongozi wa wasanii mbona ameyasahu ameishia kufungia nyimbo za wenzie za kwake za kusifia ngono hazikuwai fungiwa.
Tuzo za MTV ni tuzo kubwa sana ambazo mpaka sasa Diamond ndio anaongoza Africa kwaetuzo nyingi za MTV. Hata hongera tu?
Tuzo za Trace ndio tuzo kubwa za bara la Africa, Diamond alipata tuzo na kupafom appearances 3. Alipongezwa na wote ila sio waziri ambae ni msanii mwenzie.
Kifupi tunaweza sema hamis mwinjuma ni waziri nzigo apishe wanaoweza kazi anampigisha shoti Maza.
B... Mdakuzi unakumbuka jana nilikwambia nini?View attachment 2806533
Nikujibu kwa akaunti yako ipi uwa unanichanganya?
Endelea kuosha makalio wazee wa kizungu. Hopeless slave