Landcruiser
JF-Expert Member
- May 27, 2013
- 1,805
- 599
kaz mnayo..afu wote wanaolalamika huo upuuz n wale walokwisha jichokea
kaz mnayo..afu wote wanaolalamika huo upuuz n wale walokwisha jichokea
Baba Levo ndo nan?
Anyway wimbo wenyewe si mzuri so hata akiiba it doesnt make a difference
kaz mnayo..afu wote wanaolalamika huo upuuz n wale walokwisha jichokea
jamani mbona kipenzi changu diamond kinatuhumiwa sana kwa wiziiiii. heaven on desert hii mbona inahuzunisha.
Hata hivyo ngumu kuamini.
mimi pia nimeibiwa,hiyo nyimbo ni yangu,nilitaka kumshirikisha kwenye nyimbo yangu ur my number 2
utaamini tu.