Landcruiser
JF-Expert Member
- May 27, 2013
- 1,805
- 599
Katika sakata linaloendelea sasa kati ya Mwanadada Dayna ,kusema kwamba kaibiwa Mdundo na Diamond, Mwanamuziki mwingine wa Bongo fleva kwa jina Baba levo ameibuka na kusema yafuatayo kwenye akaunti yake ya facebook.
ZAMANI nilikuwa nikiskia mtu analalamika kaibiwa wimbo au kaibiwa njia. Nilikuwa naona ni kama maigizo na mtu kutafuta kick ya kupandia .ila leo nasema wazi DAIMOND PLATNUM amechukua korasi ya wimbo wangu niliopanga kufanyanae unaitwa SWEATY SWEATY
na kuiimba kwenye wimbo wake mpya NO 1 .. kanizungusha sana kumbe alikuwa na lengo lake...ila baridaa maisha yanasonga...
Mwisho wa kunukuu.
wapi heaven on desert.