BABA LEVO: Diamond kaniibia chorus ya my No.1

BABA LEVO: Diamond kaniibia chorus ya my No.1

Landcruiser

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2013
Posts
1,805
Reaction score
599
Katika sakata linaloendelea sasa kati ya Mwanadada Dayna ,kusema kwamba kaibiwa Mdundo na Diamond, Mwanamuziki mwingine wa Bongo fleva kwa jina Baba levo ameibuka na kusema yafuatayo kwenye akaunti yake ya facebook.

ZAMANI nilikuwa nikiskia mtu analalamika kaibiwa wimbo au kaibiwa njia. Nilikuwa naona ni kama maigizo na mtu kutafuta kick ya kupandia .ila leo nasema wazi DAIMOND PLATNUM amechukua korasi ya wimbo wangu niliopanga kufanyanae unaitwa SWEATY SWEATY
na kuiimba kwenye wimbo wake mpya NO 1 .. kanizungusha sana kumbe alikuwa na lengo lake...ila baridaa maisha yanasonga...


Mwisho wa kunukuu.

wapi heaven on desert.
 
aiseeee.
Bado najiuliza kama hao wote wanao lalamika kama ni vichaa au lah.
 
Baba levo?kaibiwa corus na daimond? Hahaha kali ya mwaka ii aya baba levo ushapata kick
 
Ili kuepuka wizi wa huyu dogo ,inabidi ukimshirikisha ni kukutana studio tu siku ya kurekodi
 
Anyway wimbo wenyewe si mzuri so hata akiiba it doesnt make a difference

Hata kama sio mzuri mtu amekaa na kufikiria mashairi yake and then mwingine anaiba, ingekua wewe ungefurahi?
 
nimemsikiliza dyna kwene udakuspecial.blogspot.com dada wa watu analalama balaa sasa hatujajua mkweli nani hapo mana kweli beat zinafanana kabisa
 
Hawana lolote hao,wanatafuta njia ya kurudi tu!
Cc.gpl
 
jamani mbona kipenzi changu diamond kinatuhumiwa sana kwa wiziiiii. heaven on desert hii mbona inahuzunisha.
Hata hivyo ngumu kuamini.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom