Baba Levo: Huwezi kumlea Mtoto Miaka 10 halafu mwanawake akuambiwe siyo wako

Baba Levo: Huwezi kumlea Mtoto Miaka 10 halafu mwanawake akuambiwe siyo wako

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
"Mhe. Mwenyekiti, huwezi kuwa umeishi na mwanamke ndani, anakusingizia ujauzito unaolea miezi tisa. Una—anazaa mtoto, unamlea mtoto anafikisha miaka kumi, baadaye mnakombana kidogo anakwambia, 'Hata huyo mtoto mwenyewe sio wako!'

Ipo namna mwanaume yeyote ipo namna ambayo mwanaume anaweza kureact katika hasira. Na kuna namna, kuna wanaume wanaweza wakavumilia hasira na kuna wanaume wengine, wakati wanapambana na hilo neno ulilomwambia, unapokea ukatili wa kijinsia."
 
Watoto ni malaika
Hakuna cha malaika, anaweza kuingizwa kwenye ushetani akawa shetani jumla. Imagine mtoto amenong'onezwa na mama kuwa wewe si baba yake(not the biological father) na anaonyeshwa baba yake(the biological father) wanaanzisha mawasiliano ya siri hapo hawi malaika tena bali anakuwa shetani muandamizi.
 
Unakuta mama tu ana mvuruga mtoto.

KITANDA HAKIZAI HARAMU
 
Back
Top Bottom