Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Watoto ni malaika
Ni miesmo inayoweza ganga mioyo na taifaHiya ni misemo tuu.
Actualy gharama zimeshuka sikuiziYeye anatakaje?
Mtoto kama sio wako ni sio wako.
Hapo ni Hoja ni DNA test iwe gharama nafuu tuu
Actualy gharama zimeshuka sikuizi
Hakuna cha malaika, anaweza kuingizwa kwenye ushetani akawa shetani jumla. Imagine mtoto amenong'onezwa na mama kuwa wewe si baba yake(not the biological father) na anaonyeshwa baba yake(the biological father) wanaanzisha mawasiliano ya siri hapo hawi malaika tena bali anakuwa shetani muandamizi.Watoto ni malaika
Unakuta mama tu ana mvuruga mtoto.Hakuna cha malaika, anaweza kuingizwa kwenye ushetani akawa shetani jumla. Imagine mtoto amenong'onezwa na mama kuwa wewe si baba yake(not the biological father) na anaonyeshwa baba yake(the biological father) wanaanzisha mawasiliano ya siri hapo hawi malaika tena bali anakuwa shetani muandamizi.
Wanajadili jinsi ya kuzaa/utianaji mimba na kulea watoto mkuu.Haya sio mambo ya kibunge kabisa
Hayo mambo ni ya kujadili kitchen party, unyago, jando na mtaani tu.Wanajadili jinsi ya kuzaa/utianaji mimba na kulea watoto mkuu.