the guardian 17
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 395
- 570
Baba Levo kupitia ukurasa wake wa Instagram ameeleza kuwa;
Nimeiangalia GAME Kwa Upana Wake NA Kuangalia Kipato Cha Msanii Mmoja Mmoja Nimegundua Vitu Vitatu ..!
1 MZIKI HAUNA NGUVU YA KUKAA TREND WIKI TATU..!
Tafsiri Yake Ni Kwamba Msanii Anatumia NGUVU Kubwa Kupata HIT SONG Lakini Haidumu Hewani ..
Na Inamlazimu Kurudi Chini Kutafuta HIT Nyingine #GHARAMA
Wimbo Mmoja Wa Msanii Ili Uwe HIT Japo Kwa Tanzania Tu …!
Itamghalimu Msanii Sio Chini Ya USD 20,000/- Sawa Na Milioni 50 Za Kitanzania (Tsh 50,000,000/-)
Na Baada Ya Gharama Hizo Mziki Utakaa WikiTatu Na Kuchuja So Itamlazimu Kutoa M50 Zingine Kutafuta HIT Nyingine.
GHARAMA IMEKUWA MARADUFU
2 WASANII WAMEINGIA MADENI KWENYE MAKAMPUNI MAKUBWA USAMBAZAJI WA MUZIKI..!
Hii Ndio Mbaya Zaidi Maana Wasanii Wakuwa Kama Punda Sasa Hivi Kila Hela Wanayopata Inakatwa VIBAYA MNO Kwa Wasambazaji Wa Muziki .
Utakuta Msanii Analipwa milioni 15 Msambazaji Anachukua Milioni 9
Nabado Msanii Anatakiwa Avae Apendeze Akae kwenye Nyumba Nzuri Atembelee Gari Zuri Ndio Maana Wamechanganyikiwa Kwakweli…!!
Ukikutana Na Kila Msanii Target Yake Ni 2025 PESA ZA KAMPENI Kitu Ambacho Mi Naona Kitawasaidia Kwakweli Muda Mfupi Sana ..!!
3 WASANII HAWANA UPENDO WA KWELI WANANAFIKIANA TU NA KUSEMANA CHINI CHINI NA HII INASABABISHWA NA NJAA PLUS UMASIKINI NJAA IMETENGENEZA ROHO MBAYA DHIDI YA MSANII NA MSANII 😭😭😭😭
LAZIMA TUTAFUTE NJIA MBADALA YA KUIOKOA SANAA YETU..!