kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,154
- 17,491
kaingili mhimili mwingine wa serikali unaokusanya kodi ili izipeleke jimboni kwake zikajenge barabara zake. Nguvu ya yeye kuzuia TRA wasikusanye kodi kaitoa wapi?
Ametumia vibaya nafasi ya ubungo. Yeye baada ya kujiridhisha kuwa yule alikuwa afisa wa TRA kazi yake ilipaswa kuishia hapo.
View: https://youtu.be/Wj7ll66CGco?si=yc4MeDF2TJ-8Vv0p