kavulata JF-Expert Member Joined Aug 2, 2012 Posts 18,154 Reaction score 17,491 Sep 29, 2026 #1 kaingili mhimili mwingine wa serikali unaokusanya kodi ili izipeleke jimboni kwake zikajenge barabara zake. Nguvu ya yeye kuzuia TRA wasikusanye kodi kaitoa wapi? Ametumia vibaya nafasi ya ubungo. Yeye baada ya kujiridhisha kuwa yule alikuwa afisa wa TRA kazi yake ilipaswa kuishia hapo. View: https://youtu.be/Wj7ll66CGco?si=yc4MeDF2TJ-8Vv0p
kaingili mhimili mwingine wa serikali unaokusanya kodi ili izipeleke jimboni kwake zikajenge barabara zake. Nguvu ya yeye kuzuia TRA wasikusanye kodi kaitoa wapi? Ametumia vibaya nafasi ya ubungo. Yeye baada ya kujiridhisha kuwa yule alikuwa afisa wa TRA kazi yake ilipaswa kuishia hapo. View: https://youtu.be/Wj7ll66CGco?si=yc4MeDF2TJ-8Vv0p
M mkulimamiwa JF-Expert Member Joined Mar 4, 2025 Posts 2,591 Reaction score 5,315 Sep 29, 2026 #2 Halafu zikikusanywa zinaishia kwa kina budul
Suleiman 1988 Senior Member Joined Mar 27, 2026 Posts 126 Reaction score 244 Sep 29, 2026 #3 Baba levo ommy d na wewe hapo. Wote CHAKULA tu