Baba Levo: Nitahakikisha Ugomvi kati ya Baba yangu (Diamond) na Mama yangu (Zuchu) unaisha

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Baada ya Msanii Zuchu kuandika ujumbe wa kutengana kimapenzi na msanii Diamond platnumz, anaejiita mtoto wao Baba Levo amesema atahakikisha ugomvi wao unaisha.

Ameandika Baba Levo kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii,

"Nitahakikisha Ugomvi wa Baba na Mama yangu unaisha sitaki kubaki yatima mim".



Unahisi Mtoto wao (Baba Levo) atafanikiwa kulirudisha penzi la wazazi wake?

Written by Mjanja M1 โœ๏ธ
 
Mwenzake Kifesi alifukuzwa na uchawa wake, nae siku hizi sijui anapiga picha wapi? Haya mambo ya kushonokea watu noma.
 
Vitombi wanagombania nini? Au CHAWA katumwa kukuza maneno watoe wimbo?
 
Hili ndo mana mkewe aliliacha,jinga kabisa hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ