Kuna yale yametuumiza sana Watanzania wapenda haki
Ila yapo pia yanayotufanya mioyo itabasamu kwa sababu ya usaliti wa hali ya juu kabisa
Usaliti alionao huyu ZZK huwenda pia huwa unamlipa sana, japokuwa uchaguzi ni haramu, furaha ya wengi ni Zzk kupigwa chini, ieleweke kuwa, Mpinzani yeyote aliye nje ya CCM afaa sana kupewa heshima na Watanzania wapenda haki ikiwa ataambatana na masilahi ya Watanzania wanaodhulumiwa na ccm kila uchao
Lakini, mtj unakuwa mpinzani na haupo na Watanzania hawa, hata ikitokea umepigwa chini kama ilivyo kwa huyu jamaa, kwetu ni sherehe kubwa
Hata ikitokea Mungu amekuita, bila shaka, Watanzania wanaotendewa mambo ya kinyama na ccm, watasherehekea!
Mwenyezi MUNGU, wewe una nguvu za ajabu, na hatujui ufanyavyo pindi ukitenda, ila tunaamini, wewe ukiamrisha, kila kitu kinakuwa
Hata sasa, Twakuomba ee Mungu, yakumbuke na kutizama kwa huruma machozi ya Watanzania wanaolia
Mungu, sisi twajua si wenye haki hata tukulilie, lakini, ikikupendeza, upanga wako, uelekeze kwa hawa wanaofurahia mateso yetu na kuona sawa tu! πππ