Baba Levo: Viongozi wa CCM tukubali pale ambapo hatujafanya vizuri, baadhi ya sehemu hatujafanya vizuri

Baba Levo: Viongozi wa CCM tukubali pale ambapo hatujafanya vizuri, baadhi ya sehemu hatujafanya vizuri

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966


Mbunge wa Kigoma mjini akifanya mahojiano na Chief Odemba amesema “Bado kuna baadhi ya Sehemu hatujafanya Vizuri, Viongozi na wanachama wa CCM tukubali pale ambapo hatujafanya Vizuri ili tutibu huo ugonjwa, Lakini kukataa tu kwamba tumeshatisha sana, tumetisha kwenye nini?”
 
Huyu jamaa aache "long-mouth"!Huo siyo utamaduni wa CCM "kulobaloba ya mingi"/kuongeaongea sana na ukweli.Watamfurusha si muda.Shauri yake.
NB:Amesahau ule msemo:"Hatuna deni na mama"?
Nakala -Luhaga Mpina via geti la ACT-zambarau.
 
Mbunge wa Kigoma mjini akifanya mahojiano na Chief Odemba amesema “Bado kuna baadhi ya Sehemu hatujafanya Vizuri, Viongozi na wanachama wa CCM tukubali pale ambapo hatujafanya Vizuri ili tutibu huo ugonjwa, Lakini kukataa tu kwamba tumeshatisha sana, tumetisha kwenye nini?”
Kukubali makosa ni ustaarabu ambao viongozi wa CCM wa sasa hawana ustaarabu huo.
Mzee Mwinyi akiwa waziri wa Mambo ya Ndani Awamu ya Kwanza alionyesha ustaarabu huo, lakini viongozi wa sasa hawaelewi kitu.
 
Back
Top Bottom