Hahahaha!Mashtaka ehh!?Michelle yamekua hayo mama?Yani kumbe ulikua unanichekea na kunishukuru uongo?Nxt time nakwambia sitaki kabisa kusikia ukiniletea matatizo yako!Hehehe tena ulivyoharibu kwakunishtakia mbele ya waumini wengine..we hujui tu!Hata baba mchungaji atakumaind!Karibu sana baba Mchungaji,huyu mama Mchungaji majukumu yalimshinda sina hamu nae............:coffee:
Nimejifunza mama mchungaji si mchungaji.......lol
Hahahaha!Mashtaka ehh!?Michelle yamekua hayo mama?Yani kumbe ulikua unanichekea na kunishukuru uongo?Nxt time nakwambia sitaki kabisa kusikia ukiniletea matatizo yako!Hehehe tena ulivyoharibu kwakunishtakia mbele ya waumini wengine..we hujui tu!Hata baba mchungaji atakumaind!
Ulinikuta kwa dimbwi la tatizo ukajidai eti napita tu,mi sikupendi honestly,mchungaji na arudi......namsubiri hapa hapa......bora awe na mpango wa kando kuliko wewe.........lol:A S 20::A S 20:
Eh kumbe bigie nae anampenda baba mchungaji eh?Mama wa busara nakufuata huko huko mlimani tuchanganye busara zetu na upako wetu....mungu ampunguzie huyu reverend hasira coz mama mchhngaji mashindwa kumsaidia!.. pia apate uvumilivu.
Jamani wanaMMU wote walio na mapenzi na the one and only..our very own Rev Masa and my very own baba mchungaji naomba tushiriki kumkaribisha nyumbani!!
Leo jioni anarudishiwa uhuru wake rasmi so naomba wote tujiunge kumwelcome back na kumpa pole kwa kuwekwa lupango.
Haters hamkaribishwi kwasababu hii sio party ya kuponda na kutoa madukuduku yenu ila ni ya kufurahia ujio wake kwa wale wampendao tu.
Baba mchungaji welcome back home...I MISSED YOU...MMU MISSED YOU...yani huwezi amini!!
Ombi binafsi....naomba usifanye tena kosa litakalokuweka mbali na sisi...pleeeeeze!!!
Love you baba mchungaji!!Mwuahhhhhh!!!