Baba mchungaji is coming hooome!!!

Baba mchungaji is coming hooome!!!

Dr Lizzy

Platinum Member
Joined
May 25, 2009
Posts
31,009
Reaction score
60,629
Free_Birds_by_ByLaauraa.jpg

Jamani wanaMMU wote walio na mapenzi na the one and only..our very own Rev Masa and my very own baba mchungaji naomba tushiriki kumkaribisha nyumbani!!

Leo jioni anarudishiwa uhuru wake rasmi so naomba wote tujiunge kumwelcome back na kumpa pole kwa kuwekwa lupango.

Haters hamkaribishwi kwasababu hii sio party ya kuponda na kutoa madukuduku yenu ila ni ya kufurahia ujio wake kwa wale wampendao tu.
Baba mchungaji welcome back home...I MISSED YOU...MMU MISSED YOU...yani huwezi amini!!

Ombi binafsi....naomba usifanye tena kosa litakalokuweka mbali na sisi...pleeeeeze!!!
Love you baba mchungaji!!Mwuahhhhhh!!!
 
Karibu babu mchungaji, uendelee na huduma yako.
Lizzy tupo pamoja mama!!
 
karibu tena mch,,,,lizzy narudi mlimani kuiombea huduma ya baba mch.
 
Karibu sana baba Mchungaji,huyu mama Mchungaji majukumu yalimshinda sina hamu nae............:coffee:
Nimejifunza mama mchungaji si mchungaji.......lol
 
Hahahaha!Mashtaka ehh!?Michelle yamekua hayo mama?Yani kumbe ulikua unanichekea na kunishukuru uongo?Nxt time nakwambia sitaki kabisa kusikia ukiniletea matatizo yako!Hehehe tena ulivyoharibu kwakunishtakia mbele ya waumini wengine..we hujui tu!Hata baba mchungaji atakumaind!
 
Ulinikuta kwa dimbwi la tatizo ukajidai eti napita tu,mi sikupendi honestly,mchungaji na arudi......namsubiri hapa hapa......bora awe na mpango wa kando kuliko wewe.........lol:A S 20::A S 20:
 
Mama wa busara nakufuata huko huko mlimani tuchanganye busara zetu na upako wetu....mungu ampunguzie huyu reverend hasira coz mama mchhngaji mashindwa kumsaidia!.. pia apate uvumilivu.
 
Jamani sasa nyie kila siku matatizo yale yale..mama mchungaji nae anachoka ujue!Mngekua mnanisikiliza mngeshayamaliza!Mpango wa kando haupo kabisa kwenye agenda ya baba mchungaji..mwenyewe ananikubali!
 
Mama wa busara nakufuata huko huko mlimani tuchanganye busara zetu na upako wetu....mungu ampunguzie huyu reverend hasira coz mama mchhngaji mashindwa kumsaidia!.. pia apate uvumilivu.
Eh kumbe bigie nae anampenda baba mchungaji eh?
 
natumaini BAn ilimsaidia sana kufanya majukumu yake kwa furaha na kwa ufanisi mkubwa bila muda wake kupotea ndani ya hii nyumba
 
welcome home..., its always sad, kumkosa fellow member...
without all of us.... we become incomplete
 
Free_Birds_by_ByLaauraa.jpg

Jamani wanaMMU wote walio na mapenzi na the one and only..our very own Rev Masa and my very own baba mchungaji naomba tushiriki kumkaribisha nyumbani!!

Leo jioni anarudishiwa uhuru wake rasmi so naomba wote tujiunge kumwelcome back na kumpa pole kwa kuwekwa lupango.

Haters hamkaribishwi kwasababu hii sio party ya kuponda na kutoa madukuduku yenu ila ni ya kufurahia ujio wake kwa wale wampendao tu.
Baba mchungaji welcome back home...I MISSED YOU...MMU MISSED YOU...yani huwezi amini!!

Ombi binafsi....naomba usifanye tena kosa litakalokuweka mbali na sisi...pleeeeeze!!!
Love you baba mchungaji!!Mwuahhhhhh!!!

bora na angehamishiwa ukonga kutoka segerea
 
Kwa niaba ya bro anafurahi kuona Shem Ana friends!
 
Back
Top Bottom