Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,009
- 60,629
Jamani wanaMMU wote walio na mapenzi na the one and only..our very own Rev Masa and my very own baba mchungaji naomba tushiriki kumkaribisha nyumbani!!
Leo jioni anarudishiwa uhuru wake rasmi so naomba wote tujiunge kumwelcome back na kumpa pole kwa kuwekwa lupango.
Haters hamkaribishwi kwasababu hii sio party ya kuponda na kutoa madukuduku yenu ila ni ya kufurahia ujio wake kwa wale wampendao tu.
Baba mchungaji welcome back home...I MISSED YOU...MMU MISSED YOU...yani huwezi amini!!
Ombi binafsi....naomba usifanye tena kosa litakalokuweka mbali na sisi...pleeeeeze!!!
Love you baba mchungaji!!Mwuahhhhhh!!!