Baba mchungaji na Mama mchungaji

Baba mchungaji na Mama mchungaji

Mimi ni miongoni mwa haters
naona sio kivile yan, mipini yote ya mwanza ile alafu unaoa kimbaumbau kama hcho aisee
Any way ngoja tu nile kobisi nisije nikachafua hali ya hewa nikagongwa ban ya maisha na huku ndo mambo yote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji48][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1][emoji36]
We si mnyakyusa kaoe wanyakyusa wenzio kama unataka wanene
 
Kuna msitari kwenye biblia unasema "mwanamke asivae mavazi ya kiume"
Aliyekuambia pensi ni vazi la wanaume nani ukianza kufuatilia historia na picha mbona kipind cha nyuma walikuwa wana vaa wote kanzu sasa pale nani alikuwa mmiliki halali wa hilo vazi babu geuka
 
Bikra ya wapi?

Kisu cha ngariba,
Mbona mwapenda kuingia hadi chumbani jamani?? Unataka huyu Mtumwa wa Bwana aeleze hayo ili umsaidieje? Kwamba ka alimkuta bikra ukamsaidie kuitoa?? Tatizo sio ubikra, tungojee tumwekee na CIA wamchunguze, Je, atarejea njia zake za kale au ataacha?
Watu wametoboa box wenyewe lakini bado wababanjuliwa mpaka marinda kufumuliwa!! Bikra ni nini mbele ya kukosa heshima kwa mume??
 
Bishana na Bible ,usibishane na mimi. Vazi la kiume na kike linajulikana. Mfano mavazi ya kiislamu.
 
Kisu cha ngariba,
Mbona mwapenda kuingia hadi chumbani jamani?? Unataka huyu Mtumwa wa Bwana aeleze hayo ili umsaidieje? Kwamba ka alimkuta bikra ukamsaidie kuitoa?? Tatizo sio ubikra, tungojee tumwekee na CIA wamchunguze, Je, atarejea njia zake za kale au ataacha?
Watu wametoboa box wenyewe lakini bado wababanjuliwa mpaka marinda kufumuliwa!! Bikra ni nini mbele ya kukosa heshima kwa mume??

Mkuu, mimi nimeuliza bikra ya wapi?
 
Pamoja na kwamba umekosea andiko halijasema mavazi ya kiume. Ila imeandikwa ""yampasayo mwanaume". Vazi gani ni la kiume kati ya hayo aliyovaa huyo binti? Hiyo ya juu ni ya kiume? Hiyo pence ni ya kiume? Kama ndivyo, jaribu kwenda ukanunue pensi kama hiyo wewe uivae kama ni mwanaume halafu ujione namna uume wako utakamailika.

Nenda kachukue jeans trouser ya kike, ama skin jeans za akina mama uvae utembee nayo uone vile unakuwa mwanamme halisi.

Nenda kachukue trouser suit ya kimama, uvae uendenayo kunakotakiwa kuvaa suti ujione namna gani uanaume wako ulivyo.

Acheni kuhalalisha mila zenu mzigeuze ziwe maagizo ya Mungu.

Watu wengi wanaangamia kwa kukosa maarifa.

Sipendi kuongelea mavazi hasa ya hawa mama zetu ambao wanaonewa kwakila namna.

Maoni yanakaribishwa
 
Nani kasema masanja ni mchungaji?
Mti mwema hujulikana kwa matinda yake.
Kwani nyie mnaonaje..?
Kwani idd amini akijiita field marshal, comando, Generaly, ndo amekua?

We all know profession ya Masanja. Huo uchungaji kasomea wapi?
C'moon let be serious
 
Pamoja na kwamba umekosea andiko halijasema mavazi ya kiume. Ila imeandikwa ""yampasayo mwanaume". Vazi gani ni la kiume kati ya hayo aliyovaa huyo binti? Hiyo ya juu ni ya kiume? Hiyo pence ni ya kiume? Kama ndivyo, jaribu kwenda ukanunue pensi kama hiyo wewe uivae kama ni mwanaume halafu ujione namna uume wako utakamailika.

Nenda kachukue jeans trouser ya kike, ama skin jeans za akina mama uvae utembee nayo uone vile unakuwa mwanamme halisi.

Nenda kachukue trouser suit ya kimama, uvae uendenayo kunakotakiwa kuvaa suti ujione namna gani uanaume wako ulivyo.

Acheni kuhalalisha mila zenu mzigeuze ziwe maagizo ya Mungu.

Watu wengi wanaangamia kwa kukosa maarifa.

Sipendi kuongelea mavazi hasa ya hawa mama zetu ambao wanaonewa kwakila namna.

Maoni yanakaribishwa

Mkuu, nakubaliana na perspective yako..japo kwenye Ukweli tuseme tu. Kuhusu hako ka kaptula ka huyo mwanamke hakafai kwa mtu anayemuogopa Mungu. Hayo ni mavazi ya kikahaba period. mwanamke Hayuko decency.

We all know, Ujana nao tabu sana. Hayo ni maigizo ya ujanani. Wakikua wataacha.
 
uploadfromtaptalk1471380926253.jpg
uploadfromtaptalk1471380949630.jpg
 
Masanja is an institution. Angalia hao vifamba waliojipanga hapo, hamna black hata moja ukiambiwa masanja ana bmw sio kwammba ni ule mpunga anaolima kule kyela peke yake au vitunguu maji anavyolima pale ruvu, there are pple behind him
Yesu wangu jamn
 
Back
Top Bottom