tinkibiruka mhaya
JF-Expert Member
- Jul 28, 2016
- 929
- 794
We si mnyakyusa kaoe wanyakyusa wenzio kama unataka waneneMimi ni miongoni mwa haters
naona sio kivile yan, mipini yote ya mwanza ile alafu unaoa kimbaumbau kama hcho aisee
Any way ngoja tu nile kobisi nisije nikachafua hali ya hewa nikagongwa ban ya maisha na huku ndo mambo yote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji48][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1][emoji36]