TANZIA Baba mdogo wa Freeman Mbowe afariki dunia

Naam Mungu si mwanadamu anaweza kumchukua mja wake yeyote na wakati wowote autakao yeye.

Hivyo tabia ya kusema mtu fulani kafa kwasababu anadhambi sanaa eti Mungu kamuondoa kwasababu ya madhambi ikome kabisa.
Nakazi hapa yani wanatuchanganya sana akifa mtu wanaedai alikuwa katili basi utasikia Mungu kajibu maombi
Lakini akifa wanaedai alikuwa mwema utasikia kazi ya Mungu haina makosa
Wanatuchanganya sana
 
Kama alikuwa kwenye mitungi hiyo ni UVIKO tu,hizo zingine siasa za kutafutia Huruma.

If it quarks and walks like a duck, it's a duck!
 
Poleni wafiwa tunamuomba Mungu awape ujasiri Katika kipindi hiki cha majonzi
 
Kama alikuwa kwenye mitungi hiyo ni UVIKO tu,hizo zingine siasa za kutafutia Huruma.

If it quarks and walks like a duck, it's a duck!
Kwanini unasema hivyo kwamba itakuwa uviko tu?
 
Kifo ni kimoja tu.

Sabbu ya kifo ni kuwa muda wako umefika.
 
Ah ni ukuu wa mungu ulio muondoa mwendazake ndio ulio muondoa na huyu pia sivyo?

Pole kwa familia
Rest in Peace Manase. Mkuu acha kusaga kunguni basi kwenye huu msiba.
 
Wenye familia yao wamesema chanzo cha mauti ni mshtuko wa moyo baada ya kushtushwa na habari za Freeman
Kumbuka walikuwa kwenye msiba mwingine tuloambiwa chanzo ni corona,hii ya mstuko ni kutaka kuvuna huruma tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…