Mtu Kwao
JF-Expert Member
- Sep 2, 2019
- 394
- 720
Nakazi hapa yani wanatuchanganya sana akifa mtu wanaedai alikuwa katili basi utasikia Mungu kajibu maombiNaam Mungu si mwanadamu anaweza kumchukua mja wake yeyote na wakati wowote autakao yeye.
Hivyo tabia ya kusema mtu fulani kafa kwasababu anadhambi sanaa eti Mungu kamuondoa kwasababu ya madhambi ikome kabisa.
Lakini akifa wanaedai alikuwa mwema utasikia kazi ya Mungu haina makosa
Wanatuchanganya sana