Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Hii ni mitoto ya mama iliyosaliti kwa sababu ya tuhela twa bando
Ni maslahi ya tumbo, mali zake na familia yake....si vinginevyo.Mtakuja kumuelewa baba mdogo muda si mrefu
Anachokifanya ni kuhakikisha mama anarudi kwao bila kelele.baadae ataungana nasi wanakijiji
Baba mdogo wenu ni Muhuni tu ,anampoteza mama yenu....#KATAA_WAHUNI.Baba yetu alishatangulia mbele za haki. Baba wadogo walishafariki pia. Amebaki mama na baba mdogo.
Sasa baba mdogo badala ya kuwa mshauri mkuu kuhakikisha familia inabaki salama yeye anamsaidia mama kutuuza.
Baadhi ya kina kaka wamechachamaa lakini baba mdogo kaziba masikio. Ndugu kina mzee Joseph wamekemea lakini wanaonekana hohehahe tu.
Kilichobaki ni wana ukoo wote na kijiji kizima waungane kumkemea huyu baba mdogo na mama.
Baba mdogo nae ana wanae anataka kuhakikisha wanakuwa maisha ya juu, na amejua upenyo ni mamaBaba yetu alishatangulia mbele za haki. Baba wadogo walishafariki pia. Amebaki mama na baba mdogo.