Golden dust
Member
- Sep 10, 2024
- 55
- 127
Bamdogo saiv haelewi kabisa la muadhin wala la mnadi swala..! Hatar sana
Kwa hiyo anajipakulia minyama siyo...Ni mlafi aliepitiliza, he is too much..... Naona anafidia kipindi alichotulizwa na "kuwashwawashwa". Anakera.
naomba kuuliza hizo mali ni marehemu baba yenu au ni za ukoo?
Kama ni za ukoo sina comment
Kama ni za marehemu baba yenu mnaweza kwenda mahakamani na mirathi mkamuondoa baba mdogo kwenye kusimamia mirathi.
Mambo ya mali ni magumu sana
Umeongea kitu ambacho wengi hawakioniMtakuja kumuelewa baba mdogo muda si mrefu
Anachokifanya ni kuhakikisha mama anarudi kwao bila kelele.baadae ataungana nasi wanakijiji
Mitoto mijitu mizima imesomeshwa na ina kazi bado inangangania Urithi.....HahahaMmeshakuwa Sasa mkajitegemee🛌
Hii kauli aliongea kweli kama huyu mzee aliongea hii kauli alikosea sana ndo maana wanampa tuuma mbayaMsoga family "wachawi wote wamekufa"