Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
Ndilo lenyewe halafu li dumb professor!😁😁Wewe ndo ulisema ni mwalimu wa chuo kikuu? Unasema unataka uibe kitanda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndilo lenyewe halafu li dumb professor!😁😁Wewe ndo ulisema ni mwalimu wa chuo kikuu? Unasema unataka uibe kitanda?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe ndo ulisema ni mwalimu wa chuo kikuu? Unasema unataka uibe kitanda?
Nilivutwa kimasihara sihara tuWe jamaa si bure.....ulianzaje kuishi ukweni?
da!!!!Wataalam,
Huyu baba mkwe jau kichizi, anazingua kinasti.
Jana nilimtonya mpango wangu wa kutafuta ghetto nihame kwake mshahara ukitoka tu, akaja juu sana.
Eti anasema "ooh unafanya hivyo Kwasababu ya ile ishu ya luku? Unataka utengeneze picha kwa Binti yangu kuwa ninakufukuza? Ww kaa hapo Kila huduma unapata unataka kwenda wapi?"
Kawa mkali sana na amesisitiza sana nisiondoke, mpaka nimeanza kuhisi anamuogopa sana Binti yake,huenda ndo ndago yake.
Mpaka nmeanza kuunganisha matukio ya zamani, Yani Kila kitu Binti asemacho huyu mshua anafanya.
Sasa Mimi plan yangu ni kwamba mshahara ukitoka tu, mi natoroka hapa, nitabeba Kitanda na godoro tu vingine vyote ntawaachia yeye na binti yake, sitaki mchezo Mimi.
Liwalo na liwe, siogopi Cha usalama wa Taifa wala usalama wa nini.
Ondoka kimasihara masihara tuNilivutwa kimasihara sihara tu