Baba Mkwe kapanga kunipa zawadi ya nyumba, viwanja na pesa za mtaji kama zawadi nikimuoa binti yake. Tatizo nimepoteza hisia na binti yake

Sasa unajuaje sijatumia akili? Au akili ni ipi mkuu?
Si umeshasema "huna hisia"?! Ina maana hapo unaongozwa na hisia/emotions na sio akili! Haimaanishi hauna akili bali hapa huongozwi na akili bali unaongozwa na hisia!!
 
Mkataa pema pabaya panamwita. Utakumbuka huu usemi siku moja.

Acha ku ku complicate mambo. Doing romance is something natural...just mwambie unachopenda na ambavyo haupendi lakini ku m judge mtu kwa sababu tu amefanya au kutaka romance ni kumuonea tu.

Ongea naye...
 
Baba Padri ipo siku mkeo atatoka nje ya ndoa kutafuta hizo style za kimalaya malaya.,
 
Itakua anatafuta Sista mana ana miondoko ya KiPadri
 
Sasa si tayali ushajijibu boss kwamba uko nyuma ya hii dunia.. OK any way. Then unaweza kudhani demu ni Malaya kumbe ayo mautundu ya kunyonyana kayapata kwnye picha na video za ngono..

Kaa nae chini uongee nae kinaga ubaga.. Mapema sana kufanya ayo maamuz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umekazana uko sekective, uko selective, basi kama unaona hakufai achana nae, wapo ambao hawako selective watamuoa,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahyo ulimkuta kashapigwa miti au bado naona hapo umeparuka
100% jibu ni ndio, jamaa kachomeshwa mahindi miaka nenda rudi kumbe huku masela wanagonga tu huko.

Alafu sijui kama huyu jamaa anajua maana ya romance?
 
huyo ni muumini wa porn......namtamani balaa ila ndio kashafia kwa selective man
 
Jamaa anazingua tu huyu !!
 
Hizi ni chai

Mwanaume mwenye exposure ya mbele hawezi kuwa hayawani hivi.

After all, heading and thread contents are incongruent.

Najisikia vibaya sana uzi unaolenga kumdharaulisha mwanamke.

Nawapenda sana wanawake na kuwaheshimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…