Baba Mkwe kapanga kunipa zawadi ya nyumba, viwanja na pesa za mtaji kama zawadi nikimuoa binti yake. Tatizo nimepoteza hisia na binti yake

Hahaha jogoo hafi kwa utitiri chukua mzigo huo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tabia zake kwenye mgegedo na muonekano wake ni tofauti...unajua watu tunatofautiana katika mahitaji hasa haya ya kingono..binafsi huwezi kuninyonya Dushe halafu nikuromance..
Jammaa mwongo..ana ndoa ina watoto watatu..leo hii anadanganya kasoma nje ..uzi mwingine kasoma UD

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa waki kweli nyuzi zako zote za uongo

One love
 
Niunganishe nae halafu unifumanie ili usilaumiwe pande zote mbili, pili hili jambo ni la kutunga tu naona tatu hata huko nje 100% hujaenda.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
JF salute,lazima abadili ID inaonekana mna hasila naye.

Na mimi nahamia uswiss
 
Mkuu samahani nimeona Uzi wako too late, lakin kwa ushauri wangu hayo ni mambo ambayo anajadilika kama ulikua unampenda na unaona anafaa kuwa mke. Kuoa kunahitaji mambo mengi, na kuna changamoto nyingi hapo katikati. Ukipata mtu unaempenda naye akakupenda hata huko mbele ya safari mtavumiliana. Unaweza ukachagua mtu mpya akajivisha ngozi ya kondoo ukimfikisha ndani ukaanza kumkumbuka uliemwacha kumbe it is too late. Kwa naye ongea naye and hear from her yeye msimamo wako anauchuliaje
 
Sasa anza kupunguza mawasiliano polepole !

Usiachie Kamba ukiwa bado uko juu Shuka pole pole!

Wacha mwenyewe aanze kuona tofauti pole pole, usimpe matumaini makubwa!

Usijilazimishe kumuo usije ukajuta!

Bora umestuka mapema
 
We ni mshamba sana huyo dada anabahati kukukosa nitumie mnya namba inbox nikuoneshe what real men do
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…