Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuelewa ndugu yangu!Kwanza nikiri kuwa umeandika maoni yako Kwa akili kubwa Sana...maana ambayo haipo wazi Sana lkn ina ujumbe mzito.....ktk swala la mapenzi ingawa wengi hamkubali ni kuwa moyo unapenda Kwanza halafu akili inachanganua na kuona je upendo huu upo mahala pake au sio pake....Kwa mfano moyo unaweza kukufanya kumpenda mke WA mtu lkn akili ndo itachanganua sasa..je ni sahihi kweli kutembea na mke WA mtu? Jibu ni hapana sio Sawa.....
Kwahiyo moyo na akili vinategemeana ktk swala zima la mapenzi...moyo umeona kuwa simpendi mke wangu na akili ikachanganua kwa kuona madhara ambayo yatatokea ktk ndoa hii...moja wapo ni kukosa furaha ya ndoa na pili ni kufuatiwa na usaliti.
Ni ngumu kukubali lkn ndio Hali halisi.
Asante mkuu Kwa maoni yako mazuri sanaNakuelewa ndugu yangu!
Kuna mahala uligusia baadhi ya sifa alizonazo mkeo (uliyemtaliki). Kwa sifa ulizoziainisha ni nzuri na ni aina ya mwanamke ambaye tunamgombania wanaume katika jamii.
Ninachokihofia juu yako ni kuwa chanya ya kitu kwa binadamu inatambulika baada ya kukikacha hicho kitu.
Maadamu unaona utafamnyia dhuluma pengine inaweza ikawa endelevu ndani ya ndoa basi talaka ndio njia iliyobakia na ni ndio njia uliyoifuata.
Mungu akupatie la heri kwenye kuchagua jema. Ikiwa umepata mwengine usiingie katika msukumo wa maamuzi ulifanyika kwenye ndoa yako ya kwanza.
Na ikiwa moyo wako utarudi nyuma jambo pekee unaweza kufanya ni kumuomba Mungu akupatie mahaba kwa mke wako.
Kama binadamu nina hisia (naguswa). Sisi wanaume ni tofauti na wanawake; namuonea huruma sana huyo mwanamke uliyemtaliki.
Mimi niseme Tu nashukuru Kwa maoni yako mkuu....wanasema ukitaka kujua uhondo wa Ngoma basi ucheze! Mwenzio nimecheza wewe bado kwahiyo sikulaumu Kwa mtazamo wakoNimeusoma uzi wako vyema huku natafakari na kuvaa uhusika wako ukijumlisha silika yetu sisi Wanaume. Inaonekana Mwanamke ndiyo aliomba talaka.
Kingine upendo hutengenezwa, uishi na Mwanamke kwa miaka 7 na uzae nae watoto wawili. Kisha mengine uliyo tuhadhia yana uongi mwingi kuliko ukweli. Yaani kwenye mizani hayapimiki na akilini hayaingii. Hapa naona kama unajifariji. Watoto wana nguvu sana na mengine kadhalika.
Umejinasibu na Uislamu, hakuna mwanamke mwenye akili timamu atakaye taka kuachika kisa unataka au umeoa mke mwingine. Ulitakiwa uoe na asingeondoka.
Kuna kumchukia mke au mume kuchukiwa na mke hii hali huwa inatokea, lakini hisia au kutokuwa na hisia na mkeo hili jambo dogo sana. Sababu maisha si hisia tu.
Niwie radhi kama nimetumia lugha kali au mfano wake, ila naona jambo kwangu haliingii akilini kabisa.
Napenda sana watu wa kweli, kwenye suala la ndoa nipo na nimeona.Mimi niseme Tu nashukuru Kwa maoni yako mkuu....wanasema ukitaka kujua uhondo wa Ngoma basi ucheze! Mwenzio nimecheza wewe bado kwahiyo sikulaumu Kwa mtazamo wako
Mjinga nae ni mtu mkuu...godoro usilolilalia hujui kunguni wake!Jinga
Katika maisha ya mahusiano mwanaume anatakiwa kutafuta mwanamke ambaye Anampenda sana Huyo mwanaume kuliko huyo mwanaume anavyo mpenda huyo mwanamke, Ndio utakuwa salama
Yaani tena utaishia Kwa Amani na mahusiano yenu yatakuwa na furaha sana kinyume na hapo unajitafutia matatizo, Time will tell you
Mkuu mke hajaomba talaka...Mimi ndo nimetoa talaka....sio tatizo langu wewe kukubali au kutokubaliNapenda sana watu wa kweli, kwenye suala la ndoa nipo na nimeona.
Shida huwa hamtaki kuwa wa kweli, ulikiri kabisa kuna muda ndoa ilikuwa ya furaha na amani,halafu unakuja kutupanga. Hapo inaonyesha wazi mke ndiyo ameomba Talaka.
Kaka ndoa na Kula Malaya vitu viwili tofauti....ukioa ndio utaelewa vizur mkuuHizi habari za hisia mbona sizielewi? Vidume mbona mnakamua Malaya kila siku ambao hamna hisia nao? Kuna wale mnawala kimasihara hisia hutoka wapi?
Okay naona wengi hamkunielewa....huyo mwanamke sijampenda na ndio maana nikatumia kutokuwa na hisia nae...na kama mtu humpendi hisia zitatoka wapi? Au hisia kwenu ni za kufanya mapenzi Tu au?Kuna kutokumpenda mtu na kutokuwa na hisia naye. Inabidi utofautishe haya.
Huyo mtoa mada huyo mwanamke alimpenda sema huko katikati yakatokea ya kutokea.
Napenda sana watu wakweli.
Pole my ❤️.....utaruhusu Tu chezea mapenz wewe 😂😂😂Mapenzi yanaumiza sana, nishawahi pitia kipindi kama hicho 😭sidhani kama nitaruhusu tena
Asante ❤️.... sijui labda🙄Pole my ❤️.....utaruhusu Tu chezea mapenz wewe 😂😂😂
Trust me ❤️....utakuja kuniambiaAsante ❤️.... sijui labda🙄
Poa.Mkuu mke hajaomba talaka...Mimi ndo nimetoa talaka....sio tatizo langu wewe kukubali au kutokubali
Sasa kuna hisia nyingine zaidi ya Mapenzi tunazo zihusisha na ndoa ?Okay naona wengi hamkunielewa....huyo mwanamke sijampenda na ndio maana nikatumia kutokuwa na hisia nae...na kama mtu humpendi hisia zitatoka wapi? Au hisia kwenu ni za kufanya mapenzi Tu au?
Mkuu kinyume cha furaha na Amani ni ugomvi na kutokuwa na maelewano....kuwa na furaha na Amani haimaanishi kwamba ndo kumpenda mtu...niambie kama tumeelawana hapa Kwanza?Sasa kuna hisia nyingine zaidi ya Mapenzi tunazo zihusisha na ndoa ?
Nipe faida hizo hisia nyingine tuzijue. Mfano wanao chukua malaya huwa wanawapenda au anakuwa na hisia tu za kukidhi haja ?
Ndiyo maana sisi tukasema kukosa hisia siyo sahihi ukisema hukumpensa hilo jambo moja lakini katika maelezo yako ulituambia ya kuna kitambo mliishi kwa furaha na amani. Hili lilitokana na hisia au upendo ?
Naendelea kusisitiza ya kuwa napenda sana waru wakweli.
Haya si maeneo yangu, ngoja nirudi nilipo toka.
Shukrani sana.
Huyo ni mke hatuongelei mtu kando. Furaha na amani kwenye ndoa inaletwa na mapenzi na upendo.Mkuu kinyume cha furaha na Amani ni ugomvi na kutokuwa na maelewano....kuwa na furaha na Amani haimaanishi kwamba ndo kumpenda mtu...niambie kama Kwanza tumeelawana hapa Kwanza?
Tatizo unataka kile unachoamini wewe ndo kiwe kwangu.....hapa tutatofautiana Hadi keshoHuyo ni mke hatuongelei mtu kando. Furaha na amani kwenye ndoa inaletwa na mapenzi na upendo.
Sisi tumeoa tuna wake, usione nakuweka sawa juu ya hili, sababu uko mbali na uhalisia.
Lete hoja nyingine.....Ila nitarudi baadae nachek tamthilia sasa hiviHuyo ni mke hatuongelei mtu kando. Furaha na amani kwenye ndoa inaletwa na mapenzi na upendo.
Sisi tumeoa tuna wake, usione nakuweka sawa juu ya hili, sababu uko mbali na uhalisia.
Hapa naongelea uhalisia sababu uhalisia upo. Sasa unapoleta habari ambazo hazina uhalisia tunazirudisha katika uhalisia ambao ndiyo mzani wetu.Tatizo unataka kile unachoamini wewe ndo kiwe kwangu.....hapa tutatofautiana Hadi kesho
Kwa ground mambo hayako hivyoMi nawaambia daily humu,oaneni mkiwa mmependana...Watu Oo,mara ee.Haya sawa