Baba mwenye nyumba nimempa hifadhi ya kulala lakini ananipa mashariti kibao

Baba mwenye nyumba nimempa hifadhi ya kulala lakini ananipa mashariti kibao

Mkuu mtimue arudi kwa mkewe wakalale wote na mgeni wao.....
 
Washa sumu ya mbu na vyote asivyo vitaka vifanye Ili hame simple like that!
 
Mimi nikijana nimepanga geto sasa hapa hii nyumba ina vyumba vitatu tuu kimoja na kama mm bachela kingine anakaa mwenye nyumba na mke wake kilichobaki anakaaa jamaaa pia mpangaji kaoa sasa

Ishu iko hivii huyu mama mwenye nyumba katembelewa na rafiki yake wa kike sasa akaniomba mimi nilale na mume wake ambae nibaba mwenye nyumba sasa mimi nashindwa hata kuingiza pisi na akija humu ndani kwangu mashalit kibaoo mara hataki dawa ya mbu yaaan mimi nimegairisha pisi zangu mbili ni wiki sasa nalala nae jee nifanyajeeee?
Huna akili
 
Mkuu mleta uzi, hivi nikisema wewe ni mjinga utalaumu kuwa nimekutukana?
 
Back
Top Bottom