if cap fits
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 1,461
- 2,062
Wanaume huwa hatulali na wanaume wenzetu , hata gect wanakataza hili, vipi kwako unaruhusu tena kwa mtu ana kulipisha kodi?? [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kitu nilikuwa sipendi kama kupanga sehemu halafu mwenye nyumba atake kuleta kujuana baada ya kumpa kodi yake. Kwanza nilikuwa nahakikisha mwenye nyumba hakai hapo na anaishi mbali. Pili nilikuwa nahakikisha kwamba mwenye nyumba ni mtu ambaye biashara ya nyumba si biashara anayoitegemea kwa ajili ya kuishi.Mimi nikijana nimepanga geto sasa hapa hii nyumba ina vyumba vitatu tuu kimoja na kama mm bachela kingine anakaa mwenye nyumba na mke wake kilichobaki anakaaa jamaaa pia mpangaji kaoa sasa
Ishu iko hivii huyu mama mwenye nyumba katembelewa na rafiki yake wa kike sasa akaniomba mimi nilale na mume wake ambae nibaba mwenye nyumba sasa mimi nashindwa hata kuingiza pisi na akija humu ndani kwangu mashalit kibaoo mara hataki dawa ya mbu yaaan mimi nimegairisha pisi zangu mbili ni wiki sasa nalala nae jee nifanyajeeee?
Hiyoo safiiHakuna kitu nilikuwa sipendi kama kupanga sehemu halafu mwenye nyumba atake kuleta kujuana baada ya kumpa kodi yake. Kwanza nilikuwa nahakikisha mwenye nyumba hakai hapo na anaishi mbali. Pili nilikuwa nahakikisha kwamba mwenye nyumba ni mtu ambaye biashara ya nyumba si biashara anayoitegemea kwa ajili ya kuishi.
Hilo nilifanikiwa kwa kiasi kikubwa. Sasa unakuta unaishi na wapangaji wenza, niliwahi ishi sehemu kuna mama mtu mzima na binti yake ana nyashi si kidogo. Tulikuwa wapangaji kama watano pale.
Yule mama kwa kuniona mimi kijana akataka kuleta mambo za kuwa yeye na binti yake wananifulia na kunisafishia nyumba, niliwakata mazoea fasta.
Nakuja naingia ndani najifungia wanasikia tv wakigonga sifungui kabisa.